Judas Iscariot was a victim

Judas Iscariot was a victim

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
13,010
Reaction score
23,655
I come in peace.

Huyu jamaa amekuwa akishutumiwa sana kwa kumsaliti Yesu, na kimsingi sio sahihi kabisa. Hii script ilishaandikwa kwamba lazima jamaa asalitiwe, kwahiyo hapa 'msaliti' ni mhanga pia, sababu alitumika tu kutimiza 'maandiko'. Kama Yesu mwenyewe alitamani kikombe kimuepuke, ila dingi akakomaa, Yuda angeanzia wapi kuukwepa huo msala?
 
Hayo Mambo yalikuwa yameshapangwa na Mungu kwa hiyo lizima ingetokea tu Kama ilivyopangwa...mfano kwenye fictional movies Kuna scenes sisi watazamaji huwa hatutamani ziwe Kama zilivyo bt hatuwezi kubadilishia maana wanaogiza wanafata scripts tu
 
Mungu hausiki na maovu ya duniani.
 
Iliandikwa kwamba katika siku za mwisho, kutakuwa na watu we ye KUFANYA MAOVU YA KILA AINA, swali la kujiuliza Ni je Ni lazima mimi niwe mwizi, mzinifu, muuaji ili nitimize hayo ma andiko? Think critically.
 
I come in peace.

Huyu jamaa amekuwa akishutumiwa sana kwa kumsaliti Yesu, na kimsingi sio sahihi kabisa. Hii script ilishaandikwa kwamba lazima jamaa asalitiwe, kwahiyo hapa 'msaliti' ni mhanga pia, sababu alitumika tu kutimiza 'maandiko'. Kama Yesu mwenyewe alitamani kikombe kimuepuke, ila dingi akakomaa, Yuda angeanzia wapi kuukwepa huo msala?
Ule ulikuwa utabiri ndio maana ukatimia, huoni mambo mengine yaliyotabiriwa yanazidi kutimia?
 
Hayo Mambo yalikuwa yameshapangwa na Mungu kwa hiyo lizima ingetokea tu Kama ilivyopangwa...mfano kwenye fictional movies Kuna scenes sisi watazamaji huwa hatutamani ziwe Kama zilivyo bt hatuwezi kubadilishia maana wanaogiza wanafata scripts tu

Wacha wee
 
ndio kusema yuda hana dhambi? sahivi atakuwa zake mbinguni na Yesu wanatucheka tulivyolishwa matango pori
 
MSALITI NI MSALITI TU, MBONA YAKOBO HAKUMSALITI, AU ANDREW?? YULE YUDA TAYARI ALISHAKUWA NA ROHO HIYO NDO MANA AKAFANIKIWA KUTIMIZA MAANDIKO.
 
I come in peace.

Huyu jamaa amekuwa akishutumiwa sana kwa kumsaliti Yesu, na kimsingi sio sahihi kabisa. Hii script ilishaandikwa kwamba lazima jamaa asalitiwe, kwahiyo hapa 'msaliti' ni mhanga pia, sababu alitumika tu kutimiza 'maandiko'. Kama Yesu mwenyewe alitamani kikombe kimuepuke, ila dingi akakomaa, Yuda angeanzia wapi kuukwepa huo msala?
Na ili kumfanyia fairly akatangulizwa kuzimu kabla ya Yesu, kusudi Atubie uovu wake kule kuzimu.

Probably Yuda alisamehewa.
 
I come in peace.

Huyu jamaa amekuwa akishutumiwa sana kwa kumsaliti Yesu, na kimsingi sio sahihi kabisa. Hii script ilishaandikwa kwamba lazima jamaa asalitiwe, kwahiyo hapa 'msaliti' ni mhanga pia, sababu alitumika tu kutimiza 'maandiko'. Kama Yesu mwenyewe alitamani kikombe kimuepuke, ila dingi akakomaa, Yuda angeanzia wapi kuukwepa huo msala?
IMG-20220412-WA0635.jpg
 
Back
Top Bottom