Jubilee Insurance hapa mmfeli vibaya sana

Jubilee Insurance hapa mmfeli vibaya sana

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Kwenye pitapita zangu nimekutana na tangazo hili kutoka kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance ikitangazia umma kuhusu Bi Neema Vegula kuwa sio sehemu ya familia ya Jubilee Insurance.

Ukilisoma tangazo hili limekaa kimtego sana na kwa upande mwingine sidhani kama linafuata miongozo na sera za Rasilimali Watu katika Kampuni ya Jubilee. Je Neema ameacha kazi, amestaafu, amefukuzwa, ameiba, amehamia kampuni nyingine?
1748534972747.jpg

Maana Kwa taarifa hii sisi tutaona mmemfanyia figisu huko ofisini na wasiompenda Hadi akaachishwa kazi, tunajua changamoto ya fitina maofisini.

Sidhani kama hii imekaa sawa kwa pande zote mbili, hapo mnazidi kumchafua Bi Neema na kumnyima fursa ya kupata kazi sehemu zingine. Kama ameiba au amefanya jambo baya ni vyema kuweka umma wazi.
 
Huu ni utaratibu wa kawaida wa kisheria haswa kwa makampuni kujilinda pale Mtu anapomaliza contract yake. Asije akaingia katika makubaliano mengine at the risk of the Employer

Hakuna kosa katika tangazo Hilo.
 
mmnh
 
Sahihi

Yeye ndie akienda omba kazi ndie ajieleze nini kilitokea
 
###NjeYaMada###Kwa Muonekano Katika Hiyo Picha Bi Neema Vegula "Naamini" Huko Nyuma Atakuwa Kaajaliwa Zile Neema Turfuh Za Allah(Shundu).....###MaoniBinafsi###
aisee.. kwa akili hizi katiba haiwezi kubadilika kamwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom