Suma mziwanda kageye
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 213
- 21
Anayebisha atoe rank yake.we hujui wame2mia vgezo vp halaf unabisha 2 bila hoja kisa chuo unachosoma kpo chin.bsha bas na havard sio cha 1 kidunia.
its a freak yaan kairuki juu ya sua???
Anayebisha atoe rank yake.we hujui wame2mia vgezo vp halaf unabisha 2 bila hoja kisa chuo unachosoma kpo chin.bsha bas na havard sio cha 1 kidunia.
yale matatizo ya darasa la 7 kupita kimagumashi kumbe hayakuanza leohoria
Jaman tungeangalia na vipezo wanavyotumia kuvirank hivyo vyuo. Mi nimeona kimoja wapo ambacho ni matumizi ya google scholar ambayo ndo inachukua 50percent wakati ubora wa elimu ni onl 15 percent
yale matatizo ya darasa la 7 kupita kimagumashi kumbe hayakuanza leo
hujui kwamba mafisadi karibia wote wametoka udsm? Mimi nipo sweden nasoma bado
Usikariri
nikiwa na watoto kama wewe, najuzulu kuwa mzazi.....
horia nimekosea spelling kwa kukimbizana na muda, nilikusudia kuandika MAKUADI WA SOKO HURIA. wewe unaona ni tatizo la kumaliza std 7 bila kujua a wala b. sio kosa lako, kwani mawzo yako ni ya kuzalau utu wa mwafrika na kuona africa is nothing. ndiyo elimu unayoitafuta huko uliko. si ajabu ukawa unasoma kiswahili ughaibuni halu uje ufundishe tz na kenya. utachekwa wewe!!!!
issue sio kukariri,kizuri kinaonekana hata kwa macho..chuo kama mbeya inst of techn,tia havipo it means quality yake iko chini ya unv of znz..mchemsho mtupu