Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Mwaka 1950's alichaguliwa waziri mkuu wa iran aliyeitwa Mohammad Mosaddegh wakati wa kampeni aliahidi kurudisha umiliki wa visima vya mafuta mikononi mwa iran alivyoshinda alianza kutekeleza ahadi yake ya kuhakikisha visima vya mafuta vinabakia mikononi mwa irani hiki kitendo hakikuwafurahisha waingireza na kampuni yao ya BP ambayo mpaka leo ipo
M16 waliwaomba msaada CIA ambao haikuwa hata na mda mrefu toka kuanzishwa kwake wampindue mosaddegh sababu anatishia maslai yao kishingo upande CIA wakawakubalia na wakamuondoa mossaddegh na wakamweka kibaraka wao mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi, jina Shah lilikuwa linatumiwa na watawala wa iran na Afghanistan zaman sana
Mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi alikuwa hapendwi na wananchi wengi na alipigwa sana mmoja aliyewapinga ni ruhola khomein walikuwa wengi ila huyu ni mmoja wapo
Ruhola Khomein aliingia sana matatani na mfalme Shah ilikuwa ni kawaida kuwekwa korokoroni baadae alikimbia nchi na kwenda uhamishoni japokuwa alikuwa uhamishoni still watu waliendelea kumsupport sababu walikuwa hawaupendi utawala wa Shah
Mambo yaliyofanywa na utawala wa Shah Mohammad Reza Pahlavi ambayo yana-shape nchi ya iran mpaka leo
Kama nilivyosema wananchi walikuwa hawamsupport mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi kwa hiyo migomo ya hapa na pale ilikuwa mingi sana ila mwaka 1970's iliongezeka maradufu sana
Mwaka 1978 yalianza maandamano madogo ambayo yalidumu mda mrefu na kuleta vurugu nchi nzima huku ruhola Khomein akiwa ufaransa akiendelea kutia chumvi mwaka 1978 nchi ikawa haitawaliki ikibidi mfalme akimbie nchi na kwenda marekani na mda huo huo ruhola Khomein alirudi nchini na alitoa kauli mbili ambazo zinashape middle East mpaka leo
Hii kauli ya kuwaondoa watawala wote wa kisunni middle East ilimshtua sadam husein ambaye ndo kwanza nayeye kaupata urais wa Iraq mwaka 1978
Na fahamu pia iran sio tu ayatollah alikuwa anampinga shaha bali walikuwa wapinzani wengi kwa ilimuia vigumu kuwaunganisha wairan
Kumbuka sadam husein na watawa wote wa kisunni hawakuipenda ile kauili ya ayatollah
sadam hussein akaamua kuivamia iran kumuondoa ayatollah ruhol Khomein kwanini alifanya hivyo ni kwa sababu sadam husein ni msuni na walio wengi nchini Iraq ni Washia kwa hiyo hii ilitishia utawala wake ambao ndo kwanza kaupata
Vita vya iran na Iraq vilipiganwa mda mrefu sana sababu
Kwa zile point mbili za ayatollah ruhola Khomein ndo mpaka leo zinashape siasa za middle eats

- Ule uzuri wa Tehran kwa asilimia kubwa msingi wake aliuweka mfalme Shah ndo maana ukiangali nchi ya iran picha za mwaka 1960', na 1970's walikwa hawana tofauti na Western countries kuanzia mavazi na maisha ya kawaida
- Program ya nuclear ilianza kipindi cha mfalme Shah ilikuwa ni rahisi kuanzisha sababu alipewa support kubwa sana na marekani kwa mwavuli wa atom for peace ila baadae ukaanza kupigwa vita baada Shah Mohammad Reza Pahlavi kufurushwa
Kama nilivyosema wananchi walikuwa hawamsupport mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi kwa hiyo migomo ya hapa na pale ilikuwa mingi sana ila mwaka 1970's iliongezeka maradufu sana
Mwaka 1978 yalianza maandamano madogo ambayo yalidumu mda mrefu na kuleta vurugu nchi nzima huku ruhola Khomein akiwa ufaransa akiendelea kutia chumvi mwaka 1978 nchi ikawa haitawaliki ikibidi mfalme akimbie nchi na kwenda marekani na mda huo huo ruhola Khomein alirudi nchini na alitoa kauli mbili ambazo zinashape middle East mpaka leo
- Kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia
- Kuwaondoa watawala wote wa kisunni middle East
Hii kauli ya kuwaondoa watawala wote wa kisunni middle East ilimshtua sadam husein ambaye ndo kwanza nayeye kaupata urais wa Iraq mwaka 1978
Na fahamu pia iran sio tu ayatollah alikuwa anampinga shaha bali walikuwa wapinzani wengi kwa ilimuia vigumu kuwaunganisha wairan
Kumbuka sadam husein na watawa wote wa kisunni hawakuipenda ile kauili ya ayatollah
sadam hussein akaamua kuivamia iran kumuondoa ayatollah ruhol Khomein kwanini alifanya hivyo ni kwa sababu sadam husein ni msuni na walio wengi nchini Iraq ni Washia kwa hiyo hii ilitishia utawala wake ambao ndo kwanza kaupata
Vita vya iran na Iraq vilipiganwa mda mrefu sana sababu
- Sadam hussein aliamini ndo njia ya kumuondoa ayatollah ruhola Khomein na
- Ayatollah ruhola khomein alitamani viendelee ili iwe rahisi kwake kuwaunganisha wairan kupitia hivi vita
- Sadam kila akizidiwa alitumia chemical weapons na alipewa support na marekani sababu tu alikuwa nayeye anamtaka ayatollah aondoke na
- Cha ajabu baadae marekani aliyekuwa akimsupport sadam kutumia chemical alimshtaki kwa kutumia chemical weapon
Kwa zile point mbili za ayatollah ruhola Khomein ndo mpaka leo zinashape siasa za middle eats
- Kuiondo Israel kwenye ramani ya dunia
- Kuwaondoa watawala wote wa kisunni ndo maana sio ajabu Jordan na nchi nyingine za kisunni kumsuport Israel
- Na sio jambo la kushangaza kuona iran akitoa support ya kijeshi kwa vikundi vingi ambavyo vinalengo la kutimiza ndoto za ayatollah ya kuwaondoa viongozi wa kisunni wote middle east