kama wewe ni munene na hilo jua la saa nane unalolizungumzia cjui unakuwa ktk hali gani kule mashariki ya mbali, hili hili jua linalotuchoma hadi TUNANUKA KAMA MISHIKAKI WE WASEMA LAKUTIA GEnye, utakuwa upo kivyulini kwenye kiyoyozi sio juani, ama tembea toka kkoo mpaka magomeni kama still papuchi itakuwa inapwita aisee wewe ni sugu kazini