Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,762
Wadau nimekutana na site moja hapa ambayo inakuwezesha kufahamu kama Simu unayomiliki ni kimeo kinachotakiwa kufungiwa na TCRA au lah. Unachotakiwa kufanya ni kutambua IMEI yako na kisha kuingiza na kisha kui serch kwenye sehemu husika ya web hiyo.
Wesite yake ni Check IMEI - IMEI.info.
Tambua simu yako ili ujitayarishe na kununua simu genuine.
Nawatakia utambuzi mwema.
Wesite yake ni Check IMEI - IMEI.info.
Tambua simu yako ili ujitayarishe na kununua simu genuine.
Nawatakia utambuzi mwema.