jua kali sana radi inatoka wapi!

kweli tembea uone maajabu usisubili kuambiwa mambo ya sumbawanga,leo hii hapa mpanda(katavi)imepiga radi hiyo huku jua ni kali sana hadi imeunguza laptop yangu jamani,cha ajabu nyumba niliyofikia ina circuit braker ikajizima!ila haikusaidia!ila wenyeji wa huku wanasema hiyo ilikuwa inatafuta mtu,nilijua ni bomu kwani sijawahi shuhudia radi huku jua linawaka!cjui wanasayansi mnatwambia nini?

Circuit breaker haizuwii radi kutembea kwenye nyaya, ilikuwa uweke kitu kinaitwa "lightning arrest-er" yenye "surge protection".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom