Jua furaha yako iko wapi, itafute

Jua furaha yako iko wapi, itafute

nawaambieni. huwezi kutoa kitu ambacho huna na ukiwa mchoyo usitegemee wewe kupewa. kama kweli furaha mnaitaka nilazima mtafute amani ndani ya nafsi zenu ndipo mtaweza kutoa na kupokea furaha na amani. na ukiamua kumfanyia mtu kitu ambacho wewe unahisi nikizuri usiweke matarajio ambayo yatakufurahisha nafsi yako. hapo ndipo maranying matatitzo huanzia

Kweli mkuu mimi pia ni muathirika wa hillo. Nimesamehe lakini nimehuta majuto ya firaoun.na athar zake bado ninaishi nazo.

Easier said than don
 
Huwezi kuipata FURAHA kwenye physical au hata Abstract items; Utakuwa disappointed sana, kwa maana vitu hivi vitakapotoweka na furaha yako itatoweka. FURAHA ya kweli utaipata SPIRITUALLY kutoka kwa MUNGU. YESU anatuonya kuitafuta FURAHA nje ya MUNGU;

"...bali FURAHINI kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni." - Luka 10:20b
 
Mi naona ni vigumu kuwa na furaha katika ujumla wake. Si rahisi mtu uwe na furaha katika nyanja zote za kimaisha.
Unaweza kuwa na furaha ya kuwa na pesa nyingi lakini hufurahii mke/mume uliyenaye. Au una pesa lakini u mpweke au unaumwa.
Au labda hufurahii hali ya kuwa huna pesa au labda u mnene sana au mfupi au hujasoma au hufurahii hali ya kuwa bize sana na kazi. Kuna watu hawafurahii hali ya kuwa waafrika..etc

Binafsi naona hakuna furaha kamilifu hapa duniani.

Unaweza ukawa huna furaha lakini pia huna huzuni.
 
Huwezi kuipata FURAHA kwenye physical au hata Abstract items; Utakuwa disappointed sana, kwa maana vitu hivi vitakapotoweka na furaha yako itatoweka. FURAHA ya kweli utaipata SPIRITUALLY kutoka kwa MUNGU. YESU anatuonya kuitafuta FURAHA nje ya MUNGU;

"...bali FURAHINI kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni." - Luka 10:20b
Tatizo ni kwamba hatuna uhakika kama kweli majina yetu yameandikwa mbinguni...sasa hapo utakuwa na furaha kweli?
 
Ha ha ha! You have to be, you know yourself &the relationship you have with God better than anyone else ... Faith will give you everything! Cha msingi ni kuwa, the root of your joy should be from God. He never let anyone down!

"Maana mtini hautachanua maua, Wala mizabibuni hamtakuwa na matunda; Taabu ya mzeituni itakuwa bure, Na mashamba hayatatoa chakula; Zizini hamtakuwa na kundi, Wala vibandani hamtakuwa na kundi la ng'ombe; Walakini NITAMFURAHIA Bwana Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu." - Habakuki 3:17-18
 
Yes u are right...at the end it all comes down to praying for the grace of God.
 
nawaambieni. huwezi kutoa kitu ambacho huna na ukiwa mchoyo usitegemee wewe kupewa. kama kweli furaha mnaitaka nilazima mtafute amani ndani ya nafsi zenu ndipo mtaweza kutoa na kupokea furaha na amani. na ukiamua kumfanyia mtu kitu ambacho wewe unahisi nikizuri usiweke matarajio ambayo yatakufurahisha nafsi yako. hapo ndipo maranying matatitzo huanzia
Ndugu yangu tatizo liko hivi mimi ninayofuraha....nimeamua kufanya jambo kwa MTU kwa lengo lakuShare Furaha yangu mwisho wa Siku niliemshirikisha Furaha yangu kanitenda mabaya.....hapo vipi
 
ukitendwa vibaya let i go usi attach vitu ka hivo katika maisha yako huta pata furaha katika maisha yako. ujue ni wewe pekee unae weza kutengeneza uhalisia wa maisha yako, Nafuraha ina anza na wewe mwenyewe, sio uhusiano, sio kazi ulio nayo wala pesa nyingi I la wewe mwenyewe. Na ili tuweza kukua ni lazima kukutana na changamoto ,, hiyo pia hesabu nichangamoto ulio kutananayo
 
nawaambieni. huwezi kutoa kitu ambacho huna na ukiwa mchoyo usitegemee wewe kupewa. kama kweli furaha mnaitaka nilazima mtafute amani ndani ya nafsi zenu ndipo mtaweza kutoa na kupokea furaha na amani. na ukiamua kumfanyia mtu kitu ambacho wewe unahisi nikizuri usiweke matarajio ambayo yatakufurahisha nafsi yako. hapo ndipo maranying matatitzo huanzia

Sikufanya wema kwa kutaraji malipo.hapana....
Na niliamua kusamehe ili nipate amani ya nafsi.
na athar niliyoipata sio kovu hapana ni inaishi ! Ni sawa na mtu kuzaliwa mzima ukajakupata ulemavu ukubwani.
 
furaha ndo kila kitu kwenye haya maisha,,tumeekwa duniani tufurahie maisha na kumtukuza na kumshukuru aliyetupa maisha haya na vyote vilivyomo naye ni Muumba,,ana majina mengi tu
 
Furaha ni hakika ipo ndani ya mtu binafsi, lakini mara nyingi huondolewa kwa kutokukubali hali ulio nayo wakati huo! Kama unaaumwa ukapokea kule kuumwaa kwa tumaini hakika hutakosa furaha.
Kama umeachwa na mtu uliempenda awe amefariki au amekutenga ukiwa na tumaini ndani yako hauta kosa furaha.
Kadhalika na hali ulio nayo ama rangi au umbile au hali ukiwa na tumaini ndani yako hautakosa furaha.
Warumi 5;1-5 imekazia kuwa na furaha kutokana na dhiki tulizo nazo maana tunalo tumaini nalo tumaini tulilo nalo halita tu hadaa, na hilo tumaini si njema Mungu.
 
Kwenye maisha huwezi kufurahi maisha yako yote wala ukahuzunika maisha yako yote ila inategemeana na wakati
Maisha ni kama siku. siku zingine kunakucha vizuri na siku zingine kunakucha vibaya yani inakuja
Automatic.
 
Back
Top Bottom