Kwani hicho king'amuzi chako kinaonyesha JTV pekee.?Wanajamvi, Kuna television mpya bado ipo kwenye matangazo/utambulisho na inajulikana kama Jason television (JTV). Kwa Dar inapeperuka kweli kweli ila inachokera ni kwamba inaonesha bongo movies Muda wote.
Wengine tuna allergies na bongo movies.
Naomba kuuliza,ni television ya nani?
Natanguliza shukrani za dhati.
SASA UKISHAJUA NI YA NANIWanajamvi, Kuna television mpya bado ipo kwenye matangazo/utambulisho na inajulikana kama Jason television (JTV). Kwa Dar inapeperuka kweli kweli ila inachokera ni kwamba inaonesha bongo movies Muda wote.
Wengine tuna allergies na bongo movies.
Naomba kuuliza,ni television ya nani?
Natanguliza shukrani za dhati.
King'amuzi gani mkuu..??Katika pekua pekua yangu nimekutana na hiki ki TV nimeakiangalia kama nusu saa hivi nikaona nipate taarifa zaidi juu ya haka kama ka tv
Kama una allergies hujalazimishwa kuangalia mkuuWanajamvi, Kuna television mpya bado ipo kwenye matangazo/utambulisho na inajulikana kama Jason television (JTV). Kwa Dar inapeperuka kweli kweli ila inachokera ni kwamba inaonesha bongo movies Muda wote.
Wengine tuna allergies na bongo movies.
Naomba kuuliza,ni television ya nani?
Natanguliza shukrani za dhati.
Startimesinapatikana kwenye kisimbusi gani?
JTV (Jasons Television) inamilikiwa na Mtsimbe na wenzake, wale jamaa wanaotoa tamthilia ya Siri za Familia, na imeanzishwa maalumu kama sehemu ya kusaidia distribution ya movie za Kibongo...Wanajamvi, Kuna television mpya bado ipo kwenye matangazo/utambulisho na inajulikana kama Jason television (JTV). Kwa Dar inapeperuka kweli kweli ila inachokera ni kwamba inaonesha bongo movies Muda wote.
Wengine tuna allergies na bongo movies.
Naomba kuuliza,ni television ya nani?
Natanguliza shukrani za dhati.
Hususa ni kipande cha tangazo hilo chenye yule mzee ananichekeshaga sana theway anavocheza na alivo vaa hatari tupu.Mi nimeipenda, kama kile kiwimbo chao vizuri sn,
kati anajifanya hapendi bongo muvi ............SASA UKISHAJUA NI YA NANI
ITAKUSAIDIA NINI