JTV, TV mpya. Nani mmiliki?

Chacha90

JF-Expert Member
Oct 13, 2017
433
725
Wanajamvi, Kuna television mpya bado ipo kwenye matangazo/utambulisho na inajulikana kama Jason television (JTV). Kwa Dar inapeperuka kweli kweli ila inachokera ni kwamba inaonesha bongo movies Muda wote.

Wengine tuna allergies na bongo movies.

Naomba kuuliza,ni television ya nani?

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Kwani hicho king'amuzi chako kinaonyesha JTV pekee.?
 
Katika pekua pekua yangu nimekutana na hiki ki TV nimeakiangalia kama nusu saa hivi nikaona nipate taarifa zaidi juu ya haka kama ka tv
 
Wanajamvi, Kuna television mpya bado ipo kwenye matangazo/utambulisho na inajulikana kama Jason television (JTV). Kwa Dar inapeperuka kweli kweli ila inachokera ni kwamba inaonesha bongo movies Muda wote.

Wengine tuna allergies na bongo movies.

Naomba kuuliza,ni television ya nani?

Natanguliza shukrani za dhati.
SASA UKISHAJUA NI YA NANI

ITAKUSAIDIA NINI
 
Wanajamvi, Kuna television mpya bado ipo kwenye matangazo/utambulisho na inajulikana kama Jason television (JTV). Kwa Dar inapeperuka kweli kweli ila inachokera ni kwamba inaonesha bongo movies Muda wote.

Wengine tuna allergies na bongo movies.

Naomba kuuliza,ni television ya nani?

Natanguliza shukrani za dhati.
Kama una allergies hujalazimishwa kuangalia mkuu
 
Wanajamvi, Kuna television mpya bado ipo kwenye matangazo/utambulisho na inajulikana kama Jason television (JTV). Kwa Dar inapeperuka kweli kweli ila inachokera ni kwamba inaonesha bongo movies Muda wote.

Wengine tuna allergies na bongo movies.

Naomba kuuliza,ni television ya nani?

Natanguliza shukrani za dhati.
JTV (Jasons Television) inamilikiwa na Mtsimbe na wenzake, wale jamaa wanaotoa tamthilia ya Siri za Familia, na imeanzishwa maalumu kama sehemu ya kusaidia distribution ya movie za Kibongo...
 
J TV ni television mpya inayopatikana katika king'amuzi cha startimes pekee, na inamilikiwa na produces kadha wa kadha! na hii tv itakuwa inaonyesha 'premere movies' i mean first class bongo movies.

yaani kabla haijatoka movie inaonyeshwa kwanza katika chanel hii
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom