Serikali yako ya Magamba ilipeleka Makamishna 2 kwenda kumwomba Lema atoke kwa vile hali ya Jiji la Arusha ilikuwa inazidi kuchafuka! Lakini kwa vile tunajua kuwa Maborisi ya Tanzania ni kama roboti za remote control, wale makamishna 2 na Hakimu mkazi wa Mahakama husika yalipokea amri kutoka wapi sijui wakaamua tena kuendelea kumshikilia Lema!
Kwa vile CCM wanafikiri kwa kutumia ma***** yao waliendelea kumshikilia Kamanda Lema wakifikiri wanamkomoa kumbe ndo wanazidi kumwongezea umaarufu. Mpaka sasa Lema ameshapanda Chati kumzidi hata KIWETO!!!!!