JPM noma,huyu Paka wa jirani pia anaisoma namba.

coockie monster

JF-Expert Member
May 2, 2015
365
710
Kuna jirani yetu mzungu alikua anafanya kazi katika kampuni fulani hivi hapa town.
sasa alikua ana paka wake huyo anampenda sana,anampa chakula,anampa huduma zote muhimu mpaka kwenye gari lake alikua anampakia na kuzunguka nae.

Sasa wiki zilizopita aliondoka kwao na inasemekana hiyo kampuni imepunguza wafanyakazi na yeye akiwemo.Basi toka aondoke na kumuacha huyu paka kwakweli anapata shida sana huyu paka.

kwanza hana pakulala,analala nje alafu alimfunga kikengele kwenye shingo basi anachezea kichapo sana na paka wenzie,hana chakula,kakonda na bahati mbaya mpaka mimba washamtia amebaki anazurura tu na makovu yake na kikengele chake.hahah maisha haya yaani mpaka paka kaisoma namba
 
Back
Top Bottom