JPM ni kweli alisema hivi?

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
2,775
Reaction score
2,198
Nimekuwa nikisikia mara kwa mara eti Rais Magufuli alisema kwamba "...... mshahara nikulipe, gari nikupe....... halafu utangaze mpinzani kashinda" - ujumbe huu akiwa amewapa Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa na Miji ambao ni wasimamizi wa uchaguzi. Mimi siamini kama Rais angeweza kutoa tamko kama hili. Lakini kama alilitoa, ilikuwa lini na wapi? Kama ni kweli tuwekeeni ka-clip!
 
Ukipewa usianze kutapatapa kujitetea... Subiri
 
Aisee inaonyesha yanakupita mengi ila ni kweli alisema tena ikulu akiwaapisha ilikuwa live mimi ile clip niliiona subiri walio nayo watakuwekea hapa uione.
 
acha hiyo, leo kwenye sherehe za kusoma quran kamtania jk utani mmbaya,
 
Embu ileteni hio clip pia niione
 
Reactions: BAK
Kaa,mkao wa kula clip tu watakuwekea ila nadhani utadai nyingi sana maana kuna matamko yameishawahi tolewa na huyu mtu shetani aliposikia alitimua mbio''mkimwona mtu anakisima na anawazuia msichote Maji mkamateni mtumbukizeni kwenye kisima.''
 
Kwahiyo ule ulikuwa mdomo wako! Kitu ya miaka mitatu unahoji leo!
 

Ukishaona utafanyaje? Kama alipokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huku jeshi likiwa limetengwa na siasa kikatiba, itakuwa hiyo kauli?
 
Huyo jamaa hakustahili kuwa mkuu wa nchi.......

Kama alivyoeleza Marehemu Kingunge Ngombale Mwiru, huyo jamaa nafasi pekee inayomstahili ni unyapara wa Barabara. OVA
 
Mhutu kuna tusi hajatamka? Zero brain pale
 
Write your reply...
๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Reactions: BAK
Tumpe kauli zote za hovyo za Jiwe ajionee kizaazaa ccm walichoiletea nchi .Huwezi kuwa msaliti halafu ukasavaivu ,Zitunzeni suruali zenu za zamani maana ikifika mwezi wa saba mpo Dar es salaam hamjahama mtakuwa wanaume kweli kweli ,Mimi sijaleta tetemeko katelero nyinyi ukimwi nyinyi, tetemeko nyinyi, Nikipata urais mtalimia meno ,Wafukuze bungeni waje huku mtaani niwashughulikie .Nikitoka likizo naonyesha salary slip yangu ,naya Tabora hayo mabango yenu muende kuyatandika myalalie na wake zenu ,hizo ni baadhi tu nimekumbusha mwenye muda wampandishie vidio .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ