JPM bado miaka 2 tuu mchezo uishe

viwanda

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
697
749
Nakuiliza wewe JPM kipi kimetukwamisha mpaka sasa hata zile halmashauri zetu ziko hoi bin taabaani.

Wabunge wetu wote wamejificha hatuwaoni siyo ccm wale chadema.

Wateule wamesahau kazi zao wanafanya mambo ya ajabu ajabu tu.

Nchi imekuwa ya matamko huku mda unaenda fasta mpaka sasa hakuna jipya.

Bajeti ya 2016- 2017 mpaka sasa sijui lengo lake ilikuwa ni nini.

Uchumi uko ICU, sasa JPM ni wapi tumekwama, kama taifa sasa ni wakati wa wewe kukubali kujifunza kutokana na makosa kama utafanya hivyo mda bado upo, but kama utakomaa hivi hivi mda ni mdogo sana.
 
Sasa hivi atakua anasikiliza audio ya mwanae mpendwa na kufikiria nani amtose kwenye uwaziri ampe mwana mpendwa kati ya Nepi au Miguu Chembalamavi
 
Back
Top Bottom