JPM Ameacha Wami Bridge,SSH katuletea Tozo!

Ebu rudi kaisome historia .

Hiyo gesi ilianza kipindi cha nani,na kwa nini aliiacha pembeni kama sio ufisadi ulioko kwenye mkataba wake.

Huo mradi wa Dege ni mradi wa kifisadi wa Ramadhani Dau na huyo huyo Kikwete.

Ndiyo maana hata sasa ambapo,Remote anayo Kikwete,lakini hiyo miradi haiwezekani.

JPM jembe aliikuta na akaicha kama alivyoikuta.
Kama dege ni mradi wa kifisadi alishi dwa nin kuwakamata wahusika?
Kipindi chote cha MAGU nani alifungwa kwa ufisadi....
1.5 trillions iko wapi?
Air Tanzania na Ttcl zilitoa mgao wa faida serikalini....MAGU NI MWONGO KULIKO MARAIS WOTE KWA UJUMLA WAO
 
Alijenga 47 % kwa miaka mitatu, Samia kapiga 49% ndani ya mwaka....
JPM katelekeza gesi, dege beach nyumba project....
Kokote alikogusa magu ni hasara tu...
MUNGU alituhurumia akamlamba
Hasara ilikua kwa wezi na wauzaadawa ya kulevya.
 
Kama dege ni mradi wa kifisadi alishi dwa nin kuwakamata wahusika?
Kipindi chote cha MAGU nani alifungwa kwa ufisadi....
1.5 trillions iko wapi?
Air Tanzania na Ttcl zilitoa mgao wa faida serikalini....MAGU NI MWONGO KULIKO MARAIS WOTE KWA UJUMLA WAO
AliWaachia "IKULU" na Mafaili yake yote!
Aliwaachia "TISS" na watendaji wake wote!
Aliwaachia TAKUKURU na watendaji wake wote!
Aliwaachia POLISI na watendaji wake wote!
Aliwaachia CAG na watendaji wake wote!

Lakini,mpaka leo hii.
Pamoja na kujenga makundi maalumu kumchafua kila uchao.

Lakini hakuna mahali mmeweza kutuonyesha watanzania kwa ushahidi wa NYARAKA na vielelezo vingine vyovyote vile.

Ili kututhibitishia madai yenu.
Kama ilivyowahi kuthibitishwa huko nyuma katika ufisadi wa..... RICHMOND,EPA,MEREMETA,
KAGODA,IPTL,TICS nk.
 
Nyinyi sukuma gang ndio mnaomchafua
 
Alijenga 47 % kwa miaka mitatu, Samia kapiga 49% ndani ya mwaka....
JPM katelekeza gesi, dege beach nyumba project....
Kokote alikogusa magu ni hasara tu...
MUNGU alituhurumia akamlamba
Duuh
 
Asilimia kubwa ya projects za sasa ni initiative za JPM! Tunajua hilo sisi sio mazwazwa ...
 
Pesa zoote mkandarasi alilipwa cash na JPM
 
AliWaachia "IKULU" na Mafaili yake yote!
Aliwaachia "TISS" na watendaji wake wote!
Aliwaachia TAKUKURU na watendaji wake wote!
Aliwaachia POLISI na watendaji wake wote!
Aliwaachia CAG na watendaji wake wote!

Lakini,mpaka leo hii.
Pamoja na kujenga makundi maalumu kumchafua kila uchao.

Lakini hakuna mahali mmeweza kutuonyesha watanzania kwa ushahidi wa NYARAKA na vielelezo vingine vyovyote vile.

Ili kututhibitishia madai yenu.
Kama ilivyowahi kuthibitishwa huko nyuma katika ufisadi wa..... RICHMOND,EPA,MEREMETA,
KAGODA,IPTL,TICS nk.
Jk hakuwa na hiyana ndio naana aliruhusu tume huru kuchunguza, jk hakuwa sehemu ya ufisadi,

Kwenye 1.5 trillions jpm hakutaka tume kwan alikuwa fisadi mtu kati, fisadi mkuu.
Noah kwa kila mtanzania za barrick gold hatujui kapokea bei ghani
 
Asilimia kubwa ya projects za sasa ni initiative za JPM! Tunajua hilo sisi sio mazwazwa ...
Hii ni tabia ya ccm. Hata JPM aliendeleza ambayo hakuinitite. Au yeye ndo aliivumbua Tanganyika na yaliyomo?
 
Acha kuleta ubaguzi na hisia za kibaguzi hapa, Hayati Dr Magufuli alikuwa Mwenyekiti wa CCM na mama yetu mpendwa kipenzi Cha watanzania mama Samia suluhu Hassani Ni Mwenyekiti wa CCM, Hayati Dr Magufuli alikuwa anatekeleza ilani ya CCM na mama yetu mpendwa mama Samia anatekeleza ilani ya CCM, Hayati Dr Magufuli alianzia alipoishia mh Dr kikwete na mama yetu mpendwa alianzia alipoishia Hayati Magufuli, Hayati Dr Magufuli alitumia Kodi za Watanzania kujenga nchi na mama yetu mpendwa anasimamia ukusanyaji wa mapato na kutumia kwa manufaa ya watanzania wote, Hayati Dr Magufuli Alikuta madeni ya nyuma na akalipa baadhi na kukopa Tena na mama Samia pia ameyakuta madeni ya nyuma na kulipa na kukopa kiasi kwa ujenzi wa Taifa letu , Hayati Dr Magufuli alikuwa Ni mwanaccm na mama yetu mpendwa mama Samia Ni mwanaccm pia

Acha Tabia yako ya hasira na kumchafua Rais wetu, acha chuki zako kwa mama yetu, acha kisilani chako kwa mama yetu Samia, acha ufitini kwa mama yetu, acha kupandikiza mbegu za kibaguzi katika Taifa letu, sisi hatutaki ubaguzi, tunahitaji umoja wa kitaifa, tunahitaji mshikamano na ushirikiano, jitafakari na badilika kitabia, Tumeshapita na kuvuka mstari wa ubaguzi na chuki , Tupo katika mstari wa upendo na kuvumiliana,

Kazi iendeleee
Dah shkamoo njaa.
Iyo mama mama unavyo itaja utafikiri kama unasoma chekechea kumbe ni mtu mzima above fote.
 
Vichekesho kweli kweli, Magu hana sifa kubwa kivile, mwache apumzike kule alipo.Tuache kuchukua muda mrefu kumjadiri mtu huyo,kana kwamba tunalazimisha jambo.
Wako watawala wakujadili hata kama walikwaa kisiki.Mmoja wao ni Mwalimu Nyerere.
Raisi Mwalimu Julius Nyerere alijenga viwanda vikubwa zaidi ya 400,Si hiyo tu kashusha Tazara ,Tazama Pipeline,kaanzisha ATC na kununua Ndege nane kwa mpigo.
Si hayo tu kafuta ujinga kwa kuleta Kisomo cha watu wazima,ndio Raisi wa kwanza kufuta karo ya sekondari hadi vyuo vikuu.
Yapo mengi mno bila kusahau vita ya ukombozi kusini mwa Afrika aliyeweka jina la Tanzania katika ramani ya dunia.
Jemedali Mkuu aliemtwanga Nduli Idi Amin kwa vita ya Kagera.
Labda tungeita Mwalimu Nyerere ndio Reference line au datum,akija mtu chini ya hapo tusipoteze muda wetu.
 
Huwezi elewa hilo sababu umejaza ujinga kichwani.

Hata wafuasi wa MOI hawakutarajia iko siku atakuja kuondoka pale.

CCM hii ndio njia rasmi ya kurudi majumbani kulea wajukuu.
Maneno ya kwenye kanga haya. Unafananisha binadamu walio hai (wakenya) na maiti (wadanganyikw)??
 
Back
Top Bottom