JPM aliwezaje kusimamia TANESCO wasikate umeme ?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,026
Reaction score
2,106
Huyu mwamba aliwezaje kuhakikisha anaondoa hii kukatwa umeme na mgao usio na mpangilio !? Na huyu mama anashindwa wapi hasa ?
 
Mbona K'Njaro umeme umestabilize sana ni miezi kadhaa tupo na umeme asubuhi hadi jioni na usiku wote, ukikatika ni dk 1 na kurudi. Upo wapi?
 
Utakuwa umeme wa kenya huo
 
Back
Top Bottom