Najua hakuwa mnene ila hata mimi nilijiuliza kidogo niliona post yao kama miezi miwili iliyopita. Sema pia anafanya mazoeziSasa hapa ana shida gani? Naona ametokea kama A$AP ROCKY na kapendeza.
Asichoelewa mtoa mada ni kwamba umri nao unasogea, hawezi kuwa kama alivyokuwa miaka 10 iliyopita.