Nje ya mada, wewe ni ME au KE??? Kama ni ME, basi utakuwa na shida mahali.amani hii couple ya Navykenzo hua naipenda sana
Nareel ni Mwanamke kwaani au ni Mwanaume?Leo ndiyo nimeamini binadamu ni shida sana. Kwanza wako busy na projects zao. Pili bidada anafanya diet na mazoezi ya kupungua, anataka kuwa hivyo. Hiyo sijui hana raha, inategemea na mtu alivyoamka ama mood yake kwa wakati huo.
Jamani hii couple ya Navykenzo hua naipenda sana. Imedumu na ni mfano wa kuigwa. Sijawaona hadharani siku nyingi mpaka nilipowaona Jana kwenye harusi ya Jux.
Nahreel hana raha na amekonda na sio kupungua. Ana shida Gani jamani
Jamani hii couple ya Navykenzo hua naipenda sana. Imedumu na ni mfano wa kuigwa. Sijawaona hadharani siku nyingi mpaka nilipowaona Jana kwenye harusi ya Jux.
Nahreel hana raha na amekonda na sio kupungua. Ana shida Gani jamanišš
Ni mwanaume mweeh𤣠zerominus10 futa ulivyoniquote kwanza ndugu yangu. Kichwa kishachoka sasa muda wa kupumzika.Nareel ni Mwanamke kwaani au ni Mwanaume?
Ulichelewa sana bibie kulijua hili! Mbaya zaidi jinsia ME ndiyo imekuwa kinara wa umbeya hapa Tanzania.Leo ndiyo nimeamini binadamu ni shida sana