Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,872
Binafsi sijawahi kumkubali Joyce Kiria kiviile japo ana mambo ambayo huwa anafanya yana positive impact kwa jamii ila kuna mahali huwa anajichanganya sana hadi mtu unajiuliza huyu mama vipi?!

Jana kapewa kichapo kitakatifu na mume wake, yule jamaa handsome sana nadhani yule mwanamke alimpush to the limit.

Anadai eti yeye mwanamke ndo analipa bills zote za familia hadi kodi ya nyumba. Sasa nimetafakari japo mimi huwa sijali mambo ya watu, huyu mwanamke anaishi nyumba ya kupanga Mbezi Beach tena ghorofa(Mimi nilidhani nyumba yao)

Anaishi maisha ya juu sana, je hasara kwa nani? Acha alipishwe mwenyewe hizo bills.

Na nyie wanaume unaishije nyumbani hata sabuni hununui jamani? Kweli? Acheni hizo makamanda!

VIdeo akimchamba mume asiyelipa hata kodi ya nyumba

 
Ukiamua kuishi na mtu basi uvumilie kwelikweli.

Wakati anakubali kuolewa alikuwa hajui kama huyo mumewe hawezi kulipa bills?! Na kama huyo mwanaume hafai kwann haachani nae atafute mwingine wa kulipa bills.

Wakati huyo jamaa anagombania ubunge mbona alikuwa hasemi haya yote sifa zilikuwa kedekede nw ndio jamaa kawa mbaya. Huyu kweli bado ana akili ya kibeki 3
 
Mie naona anajifariji tu hapo ila ujinga aliusababisha mwenyewe tangia mwanzo kwa kujipachika majukumu ambayo kwa upande mwingine wangeweza kuwa wanasaidiana.

Pia nampa pole sana sababu kama ni kweli analipa hadi kodi ya nyumba ni hela nyingi sana ambayo ameshaipoteza.

Ila wanaume na nyie hebu jifunzeni kusimama kama wanaume basi. Khaaa.
 
kila mtu asimame kwanza kwenye wajibu wake mkuu?
Kwenye ndoa akuna wajibu ndugu kama upo naomba nisaidie kuuweka mi nadhani ndoa ni makubaliano ya wawili nadhan aliyefikilia rais awe na mke dah ametumia akili sana mana rais angeoa siku urais ukiisha mke huna au michambo
 
Joyce hana akili yule. Tangu mwanzo Kilewo alimwambia wapange nyumba za kawaida ila J alikataa katakata akalazimisha kukaa kwenye mgolofa ule.

Haya, tupeleke watoto shule za academy ila za kawaida J akakataa ASA ata kama wewe utafanyaje???

So J apambane na hali yake
 
Kwenye ndoa akuna wajibu ndugu kama upo naomba nisaidie kuuweka mi nadhani ndoa ni makubaliano ya wawili nadhan aliyefikilia rais awe na mke dah ametumia akili sana mana rais angeoa siku urais ukiisha mke huna au michambo
aisee .kweli hakuna wajibu? wewe ni ninsia gani mkuu? umeoa?
 
Back
Top Bottom