We Koba huwa unatatizo gani? Kuna topic zikiguswa huwa unakuja kwa kasi na jazba na huchelewi kuporomosha matusi.
Ni aina gani ya ustaarabu uliyonayo ambayo inakuzuia kujadili vitu bila matusi na kejeli?
Ukiona koba kaibuka ujue mmeitaja Rwanda! bado mwingine anaitwa mukamasima kama sikosei jina lake! hao ni watu wanaomwabudu sana kagame ni maadui wakubwa wa nchi hii.Lakini uki trace IP adress zao utajua wako maeneo gani huo ndiyo uzuri wake.Threat ya koba kwa Tz ni ndogo otherwise tungeweza kumfunua tu kwamba yeye ni nani maadamu yumo humu kwenye cyberspace!