Joyce Banda agoma kumkabidhi prof. Mutharika madaraka

Joyce Banda agoma kumkabidhi prof. Mutharika madaraka

Khakha

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
2,981
Reaction score
1,013
Wadau Amani iwe juu yenu,

Mama Banda kagoma kumkabidhi ofisi rasmi rais mpya wa Malawi prof. Mutharika . Amekimbilia kwake Nkata bay kwenda mapumziko kwa mujibu a BBC Swahili service.

Prof Mutharika hata hivyo amesema kuwa hana kinyongo nae na anamkaribisha wakae pamoja ili waiendeleze Malawi.
 
Wadau Amani iwe juu yenu,
mama Banda kagoma kumkabidhi ofisi rasmi rais mpya wa Malawi prof Mutharika . Amekimbilia kwako nkata bay kwenda mapumziko kwa mujibu a BBC Swahili service.prof Mutharika hata hivyo amesema kuwa hana kinyongo nae na anamkaribisha wakae pamoja ili waiendeleze Malawi.

Kama JK atakavyo goma kuwa kabidhi UKAWA ofisi 2015.
 
Wakabidhiane Ofisi Malawi Ipate Maendeleo,.

Nina Wasiwasi mkubwa hata CCM 2015 wakafanya viroja kama hivi ila ndiyo hivyo tena itawabidi wawapishe makamanda wachukue nchi maendeleo yapatikane!!!!
 
Back
Top Bottom