Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,394
...........
Why are our journalists so sleepy? When will their editors rise to the challenge? Why can't they maintain the same sort of high standards as the East African does?
..... Tumeshalalamika siku za nyuma lakini inaelekea hamuambiliki! Kwani mnakunywa kazini? ...
Sasa sikiliza wanavyo tamka majina redioni na kwenye TV utasikitika na roho yako. Kuna wakati niliwahi kuwaandikia e-mail na kuwatajia msomaji anayebenga majina, lakini wakakaa kimya, nilidhani hata wangeshukuru, lakini wapi. Majina yanayo washinda ni kama Duke of York, Luke, Linus, Simon, Matthew, Irene na kadhalika. Wao wanasoma kama yalivyoandikwa, lo, AIBU
Unfortunately jamaa hawa huwa wanavurunda hata kiingereza. Kwenye gazeti la majuzi kulikuwa na picha inayoonmyesha waandishi waandamizi wakiwa wamebeba jeneza la marehemu Mhango. caption iliyokuwa imeandikwa pale kuhusiana na picha hiyo utadhani imeandikwa na mtoto wa darasa la pili.
Tukumbuke wakati mwingine tunaandika Kiingereza kwa Kiswahiili; kwa mfano "you tell me what?" yaani "umeniambia nini" au "yeye na Wema Sepetu" ikawa "him and Kind Sepetu".. Kwa hiyo wakati mwingine ukisoma hizo caption au sentensi usizisome kama unayesoma Kiingereza halafu utafsiri kwa kiswahili; jaribu kuzisoma kama Kiingereza kilichoandikwa kwa Kiswahili..!
.Tukumbuke wakati mwingine tunaandika Kiingereza kwa Kiswahiili; kwa mfano "you tell me what?" yaani "umeniambia nini" au "yeye na Wema Sepetu" ikawa "him and Kind Sepetu".. Kwa hiyo wakati mwingine ukisoma hizo caption au sentensi usizisome kama unayesoma Kiingereza halafu utafsiri kwa kiswahili; jaribu kuzisoma kama Kiingereza kilichoandikwa kwa Kiswahili..!
Tukumbuke wakati mwingine tunaandika Kiingereza kwa Kiswahiili; kwa mfano "you tell me what?" yaani "umeniambia nini" au "yeye na Wema Sepetu" ikawa "him and Kind Sepetu".. Kwa hiyo wakati mwingine ukisoma hizo caption au sentensi usizisome kama unayesoma Kiingereza halafu utafsiri kwa kiswahili; jaribu kuzisoma kama Kiingereza kilichoandikwa kwa Kiswahili..!
Kwa hiyo wakati mwingine ukisoma hizo caption au sentensi usizisome kama unayesoma Kiingereza halafu utafsiri kwa kiswahili; jaribu kuzisoma kama Kiingereza kilichoandikwa kwa Kiswahili..!