C chobo Member May 4, 2010 20 3 Jan 5, 2012 #1 Mwanangu anaumri mwaka mjoja na kama nusu ivi . Ananiachanganya kwani mala zote kichwa chake ni cha moto sana kama ana homa ila mwili mwingine uko kawaida je ? Hii inaashilia tatizo lolote kwake
Mwanangu anaumri mwaka mjoja na kama nusu ivi . Ananiachanganya kwani mala zote kichwa chake ni cha moto sana kama ana homa ila mwili mwingine uko kawaida je ? Hii inaashilia tatizo lolote kwake
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,786 Jan 5, 2012 #2 Unajuaje joto la kichwa? Unatumia kipima joto?
lovelove Member Aug 22, 2011 21 3 Jan 6, 2012 #4 kama hana dalili za homa bac ni kawaida, mwanangu alikua hivyo hivyo nkaenda hosp nkaambiwa ni kawaida kwa watoto.
kama hana dalili za homa bac ni kawaida, mwanangu alikua hivyo hivyo nkaenda hosp nkaambiwa ni kawaida kwa watoto.
MATESLAA JF-Expert Member Aug 11, 2011 1,246 74 Jan 7, 2012 #5 huyo mwanao anaumwa ugonjwa wa kichaa au kichwa mbona uwelewekia :embarassed2: