Joto la kicha ni kali kuliko mwili kwa mwanangu 1.5 years

chobo

Member
May 4, 2010
20
3
Mwanangu anaumri mwaka mjoja na kama nusu ivi . Ananiachanganya kwani mala zote kichwa chake ni cha moto sana kama ana homa ila mwili mwingine uko kawaida je ? Hii inaashilia tatizo lolote kwake
 
kama hana dalili za homa bac ni kawaida, mwanangu alikua hivyo hivyo nkaenda hosp nkaambiwa ni kawaida kwa watoto.
 
huyo mwanao anaumwa ugonjwa wa kichaa au kichwa mbona uwelewekia :embarassed2:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom