Joto la Dar ni shida kama vile Darful

Joto la Dar ni shida kama vile Darful

Bila hii kitu no game 😋😋 Bushmamy

mrangi chinjio hili 😀😀😀
20201211_205109.jpg
 
Duh we jamaa kumbuka maji yana hesabu zake
Utapata cardiac overload then kifo, kwanza siamini
Huo mkwara mbuzi
Mara jamaa, mara mkwara mbuzi,
Mara kifo,
Yote hayo kisa maji bablaii.
Kama kifo kipo kipo tu
 
Tunaishukuru serikali ya awamu ya tano kwakutuletea joto

.#nasema uongo ndugu zangu maendeleo hayana chama
 
Niko kijenge ya juu,yule best yako mbabe kaleta vurugu hatari sehemu
Haaaaa Haaaaa 😂 jamani, mimi kanishinda yule, staki urafiki nae tena, nipo huku kwenye majoto kwanza ntarudi chuga kula xmas 🎄
 
Hili joto unakunywa maji Lita 20 per day sasa usiku umeme umekata nipo nimelala zangu nikastukaaa godoro limelowaaa nikajisemea nimejikojolea hapana! Au kuna mtu kanimwagia maji nikanyata nichungulie chumba cha pili km kuna dalili ya mtu aliingia kunimwagia maji hola,,, nikakuta wapo utupuuu daadeck nilirudi baluuu.

Joto hili hatushikani ovyo yaani mtu akikugusa tu unamchabo kisura mbuzi.
 
Duuuh
 
Poleni wakuu naona ina elekea 37c
 
Attachments

  • 80AF9A29-97BC-4C28-AB8E-35EFA2E8E507.png
    80AF9A29-97BC-4C28-AB8E-35EFA2E8E507.png
    86.3 KB · Views: 6
  • 9AFC3683-4037-4A71-9CF5-8C0300846986.png
    9AFC3683-4037-4A71-9CF5-8C0300846986.png
    71.2 KB · Views: 6
Back
Top Bottom