Haaaa haaaa. Feni sita bado joto tu mkuu? au umeme ulikuwa umekatika. Nawaonea huruma wale wadada zangu, wakipaka mambo yao ya urembo joto la dar likifikia kiwango chake uso unatoka michirizi kama tausiNdugu zangu wana jukwaa hili JOTO mbona ni mateso sana yaani linataka tulale ndani ya freezer? Kwakweli hata feni sasa hasifui dafu sijui wenzangu mnaonaje.....