Oooh sawa green house gases eg. Co2, methane CH4 etc hizi kazi yake kwenye anga ni kutrap uv light na kugenerate joto ambalo linashuka duniani bila hizi gases dunia kusingekuwa na maisha dunia ingekuwa baridi sana.
Sasa kutokana na human activities now days production ya hizi gases umekuwa mkubwa kutoka moshi viwandani, magari, kusafisha mafuta, kilimo n.k
Sasa kuongezeka kwa hizi gases angani zimeongeza ability kubwa ya kutrap more suv light hence ongezeko la joto duniani na mabadiliko mengine mengi ya tabia ya nchi.
Kwahiyo hili joto ni sbb ya climate change ndio maana huoni sio dar tuu jana mkoa kilimanjaro umevunja record ya kiwango kikubwa cha joto.
Thkx