Kimbweka JF-Expert Member Jul 16, 2009 8,597 1,683 Apr 11, 2012 #1 Duh VIJANA wamefanikiwa mpaka kujenga miili yao.......... Attachments vijana.jpg 39.6 KB · Views: 1,479
Type JF-Expert Member Apr 10, 2012 203 22 Apr 11, 2012 #4 Kimbweka said: Duh VIJANA wamefanikiwa mpaka kujenga miili yao.......... Click to expand... hata wewe kiamua inawezekan
Kimbweka said: Duh VIJANA wamefanikiwa mpaka kujenga miili yao.......... Click to expand... hata wewe kiamua inawezekan
B barnabie Member Jul 13, 2011 44 6 Apr 11, 2012 #5 Mchina huyo wasikutishe njoo nawe nikupe utkuwa kama wao
Asnam JF-Expert Member Jan 18, 2012 4,256 2,944 Apr 11, 2012 #7 wabongo bwana mwishowe tutaanza kutatafuta lini mtu alianza kurefuka.
Safina JF-Expert Member Jun 18, 2009 497 64 Apr 11, 2012 #8 Type said: hata wewe kiamua inawezekan Click to expand... Kawaida sana tu, hata wewe ukijiangalia wakati ukiwaangalia jana, na walivyo leo, wewe pia ulikuwa tofauti.
Type said: hata wewe kiamua inawezekan Click to expand... Kawaida sana tu, hata wewe ukijiangalia wakati ukiwaangalia jana, na walivyo leo, wewe pia ulikuwa tofauti.
Q Qsm JF-Expert Member Dec 11, 2008 445 251 Apr 12, 2012 #9 jamani kumbuka unapokuwa na umri mkubwa lazima ubadilike!
Z zilakina JF-Expert Member Sep 16, 2011 293 77 Apr 16, 2012 #11 Kimbweka said: Duh VIJANA wamefanikiwa mpaka kujenga miili yao.......... Click to expand... Hata mbuyu ulianza kama mchicha.Joti & Mpoki keep it up.
Kimbweka said: Duh VIJANA wamefanikiwa mpaka kujenga miili yao.......... Click to expand... Hata mbuyu ulianza kama mchicha.Joti & Mpoki keep it up.