OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
At Least For The Time Being...!
Mmmh Michepuko Arushaone...!!??
Mmmh Michepuko Arushaone...!!??
Nikupige upara kama huo wa joti au rihanna style 🙂
Ntakusuka msuko wa mzazi basi
View attachment 152954
nawe wataka kusukwa?Anhaaaa, basi sawa!!!!
Ntakusuka msuko wa mzazi basi
View attachment 152954
Haahahahahaha una visa wewe....hujambo lakin?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
nawe wataka kusukwa?
Sio morani tena my dear huku twaenda kwa age.................ila ukinipa ofa naweza chagua pia sio mbaya ila iwe siri yako sasa!!!!!!!
Ha ha haaaaa umati wote wa mtume ushakusikia itakuwa siri gani hio sasa lol