buyegiboseba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 535
- 145
Polepole na mdomo wako Mh. Nassari. Kuna njia nyingi na pengine bora kuliko unazotumia muda huu (hasa kwa wiki hii) ambazo zinaweza kuleta ukombozi, haki na ustawi kwa wananchi wa Tz.
Nakupa benefit of doubts. But plz try and learn quickly so that you may rightfully play role-model mantra.
Amesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

....elewa vizuri, yeye anashukuru nini? na wewe unasema nini?, soma tena comment yake tafadhali, wewe Nape ninihuna haja kuwashukuru maana ni wajibu wao kutenda haki siku zote!!
naanza kudoubt uwezo wa huyu kijana umbile la mtu haligawi nchi bali maneno ya mtu.mimi naona bora anyamaze mambo ya poe kwanza.mbowe mwambie afyate mdomo huyu kijana.
Naanza kudoubt uwezo wa huyu kijana umbile la mtu haligawi nchi bali maneno ya mtu.Mimi naona bora anyamaze mambo ya poe kwanza.Mbowe mwambie afyate mdomo huyu kijana.
Amesema jambo
ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa
alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama
anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia
kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu
mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya
ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza
wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'.
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr