AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Polepole na mdomo wako Mh. Nassari. Kuna njia nyingi na pengine bora kuliko unazotumia muda huu (hasa kwa wiki hii) ambazo zinaweza kuleta ukombozi, haki na ustawi kwa wananchi wa Tz.
Nakupa benefit of doubts. But plz try and learn quickly so that you may rightfully play role-model mantra.
Kina Ritz wanamwona Nassary ni mtu mkubwa sana. Ni waoga hujapata kuona
kwaivo nchi yetu yaongozwa na Marais wa ngapi???? Ama polisi wamechukua tu order kama waudumu Bar?????.....Kina Ritz wanamwona Nassary ni mtu mkubwa sana. Ni waoga hujapata kuona
Kwani mwizi akiwa anavunja usiku, mtoto mchanga wa siku 1 akashtuka ndani akaanza kulia si mwizi anatoka ndukiKina Ritz wanamwona Nassary ni mtu mkubwa sana. Ni waoga hujapata kuona
Hapa mimi sikubaliani na wewe kabisa. Udogo anaomaanisha Nassari ni wa yeye kuigawa nchi. Najua hata wewe unajua Nassari hana uwezo wa kuigawa nchi kwa sasa. Na hana maana kwamba kila siku atakuwa mdogo. Haya maneno kayatamka leo lakini haina maana kwamba atakuwa mdogo na kesho piaAmesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Amesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr