Joshua Nassari: Hakuna wa kunitoa Arumeru

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Wacha sasa tuisaidie serikali maana imeshindwa ama imesahau jukumu lake kwa umma wa watanzania.

NDUGU WATANZANIA WENZANGU,KUSHINDA UCHAGUZI SI JAMBO GUMU, BALI JAMBO GUMU NI KUTUNZA IMANI YAKO KWA WALIOKUCHAGUA ILI WAENDELEE KUKUAMINI NA KUKUCHAGUA TENA.
 
Attachments

  • 10373802_1506520542955193_2642461441963632695_n.jpg
    10373802_1506520542955193_2642461441963632695_n.jpg
    124.9 KB · Views: 967
  • 10404395_1506520559621858_5702871377780236375_n.jpg
    10404395_1506520559621858_5702871377780236375_n.jpg
    136 KB · Views: 2,466
Hongera sana Nassary kweli wewe ni kiongozi mzuri, lakini angalizo hizo kauli za "HAKUNA WA KUNITOA ARUMERU" si njema kwa usalama wa demokrasia sababu elewa kuna jamaa watatangaza nia mdani ya chama mwakani, sasa kwa kauli kama hizi zitawachefua wenzako ndani ya chama.
 
Simiyu Yetu ni lini umeandika jambo la maana toka uzaliwe maana hata mamayako anajuta kuwa na mtoto kama wewe
__gunia la viazi lina thamani kuliko wewe
 
Last edited by a moderator:
Kama kwenye Sakata la ESCROW alishindwa kuchangia chochote zaidi ya kuzomea wenzake! ataweza kuwatumikia wananchi? huyu na SUGU akili ndio zile zile!
 
Kama kwenye Sakata la ESCROW alishindwa kuchangia chochote zaidi ya kuzomea wenzake! ataweza kuwatumikia wananchi? huyu na SUGU akili ndio zile zile!

Mbona na wewe ndio mdau wamafisadi na ukakasi wa Kimavi bila kunawa
 
Kama kwenye Sakata la ESCROW alishindwa kuchangia chochote zaidi ya kuzomea wenzake! ataweza kuwatumikia wananchi? huyu na SUGU akili ndio zile zile!
Msalani bwana ka jina lake.... kwani magamba wangapi walichangia? Wengi walikuwa wanatetea ufisadi.... sasa kama unachukia ufisad coz ulitaka nasasari achangie, unafanya nini huko au ndo wale CCM Maslahi msemo wa Mzee Warioba!!!!....
 
Kwahiyo wewe unaona ni sawa kwa mbunge kutumia muda wake kuzomea wenzie, badala ya kuchangia either positively or negatively!
 
Hongera sana Nassary kweli wewe ni kiongozi mzuri, lakini angalizo hizo kauli za "HAKUNA WA KUNITOA ARUMERU" si njema kwa usalama wa demokrasia sababu elewa kuna jamaa watatangaza nia mdani ya chama mwakani, sasa kwa kauli kama hizi zitawachefua wenzako ndani ya chama.

Angesema hakuna wa kuitoa CDM nadhani ingesound vizuri!
 
Kama kwenye Sakata la ESCROW alishindwa kuchangia chochote zaidi ya kuzomea wenzake! ataweza kuwatumikia wananchi? huyu na SUGU akili ndio zile zile!

Unajua asilimia ngapi ya wabunge kutoka magambani hawakuchangia kitu kwenye ESCROW? na kama walichangia walifuka tu moshi.
 
LAKINI SIKUSHANGAI KUTOKANA NA JINA LAKO NA AKILI PIA ITAKUA YA KIMATAKO ------ TU UMEZOEA KUPOKEA KINYESI TU WW MSALANI UNAO WAJUA WW NA CHAMA CHAKO WE CHOKO WANGAPI WALIOCHANGIA ESCROW? ANDIKA HOJA SIO KUKURUPUKA.Swali KWA CHAMA CHAKO NI LINI ULITUWEKEA MADAWATI HATA YA KUTUDANGANYA Swali ni 2 WATU KAMA WW BIBI ZAO BADO WANAZAA HUYO MTOTO WA BIBI YAKO ALIOPO DARASA LA 3 ANAKAA KWENYE DAWATI AU CHINI?
 
Vijana wengine ni hasara tupu!

Hafahamu kama waliomuweka hapo alipo ndiyo watakaomtupilia mbali.

Vijana kama hawa hafahamu kama siasa au mazingira yanabadilika.

Mwenyezi Mungu akiamua hata leo anaweza kumuondoa!
 
Vijana wengine ni hasara tupu!

Hafahamu kama waliomuweka hapo alipo ndiyo watakaomtupilia mbali.

Vijana kama hawa hafahamu kama siasa au mazingira yanabadilika.
HATA CCM YAKO INAPASWA KUFAHAMU KUWA MAZINGIRA YANABADILIKIA, ZAMA ZA KUTEGEMEA POLISI ZIMEKWISHA

Mwenyezi Mungu akiamua hata leo anaweza kumuondoa!
HATA MWENYEZI MUNGU AKIAMUA HATA MUDA HUU CCM YAKO YAWEZA KUONDOKA PIA
 
Back
Top Bottom