Joshua Nassari: Hakuna wa kunitoa Arumeru

Joshua Nassari: Hakuna wa kunitoa Arumeru

Tunapozungumzia kuhusu demokrasia ndani ya vyama nasari alipaswa kutambua ya kwamba kura za maoni ndani ya chama chake bado hazijafika kutoa kauli kama hii mapema ni kufifisha ndoto na kuminya demokrasia ndani ya chama chake.ndani ya chadema kuna vijana wengi tena wasomi wana nia ya kuomba nafasi ya kupeperusha bendera ndani ya chama ushauri ni kwamba akae kimya akisubiri kura ya maoni hakuna haja ya yeye kuwa na woga wala wasiwasi tukutane mwakani mh nasari.
 
Mhe. Nassari najua wewe ni member wa JF, hivyo natoa ushauri ambao ninapenda pia uuifikishe kwa VIONGOZI wa juu wa CHADEMA/UKAWA.

Kwanza hongera sana kwa kazi nzuri unayoifanya jimboni kwako, kweli CCM hawana chao Arumeru Mashariki. Just for a comparative Jimbo la Arumeru Mashariki ndiyo linalosikika nchi nzima, lakini jimbo DADA la Arumeru Magharbu halisikiki kabisa. WHY? ni kwasababu ya kazi nzuri unayoifanya. I'm sure hata wananchi wa Arumeru Magharbi can borrow a leaf from Arumeru Mashariki na kuwapatia jimbo la Arumeru Magharibi Upinzani mwaka 2015.

USHAURI WANGU kwako Nassari. CCM wana kawaida ya to disfranchise younger voters. Utakumbuka wakati wa uchaguzi uliokupa wewe ushindi wanafunzi wa Nelson Mandela walijitolea fedha zao, kusafiri kutpka makwao kuja Arumeru kukupigia wewe kura. Hivyo tusichukulie haya mambo for GRANTED.

Ninasema CCM wana kawaida ya ku disfranchise younger voters, kwasababu wanajua kwamba younger voters ndiyo BASE ya opposition. Hivyo CCM watafanya all they can do stop them from voting.

Wana disfranchise youngers voters how? wakati wa kuandikisha wapiga kura kwenye daftari la kuduma la wapiga kura NEC hufanya zoezi hilo wakati VYUO na SEKONDARI vikiwa VIMEFUNGULIWA. Maana yake ni kwamba hao wana vyuo na wanafunzi wa sekondari wanatakiwa kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu wakiwa vyuoni na sekondari wanakosomea.

Lakini siku ya kupiga kura kwenye UCHAGUZI MKUU, hufanyika wakati vyuo na sekondari vikiwa VIMEFUNGWA. Hili sio suala la bahati mbaya kabisa, it is by design kuhakikiksha kwamba wanawa disfranchise younger voters.

SWALI, langu kwako na kwa viongozi wa CDM, Je mmejiandaa vipi na hii challange ya CCM to disfranchise younger voters ambao ndiyo BASE YENU YA WAPIGA KURA?!

Kutegemea kwamba kila mwanafunzi na mwanachuo atajisafirisha kurudi chuoni na shuleni alikojiandikisha KUWAPIGIA KURA wagombea wa UPINZANI wkati vyuo na mashule yamefungwa is not REALIBALE and SUSTAINABLE. Naomba oppoistion mkune kichwa jinsi ya kutatua changamoto hiyo itakayokuwa created deliberately na NEC kwa maelekezo ya CCM.

Once again ahsante kwa kazi kubwa unayoifanya jimboni kwako.
 
Nasari mdogo angu nakuambia pokea sawasawa na ukiri wako,

Sasa ninachokuomba uwaelimishe wananchi ya kwamba unawekewa vikwazo na maccm kutekeleza malengo yako, elezea jinsi ambavyo ukitaka kupanga vikao unakwamishwa, ongea haya mapema la sivyo wameanza kupita pita na kusema yako wapi mliyoahidiwa, japo wao walikuwepo miaka yote na hawakufanya lolote la msingi.

Sisi hapa mtaani kwetu tumeamua kuwapa wapinzani support kwa miaka 25 nusu ya miaka waliyotawala maibilisi maccm na hapo tutaamua tena la kufanya.
 
Kwani nasari anatofauti gani na huyu kamanda mwingine wa chadema kwangu mimi naona wote majuha tu.
Taratibu mkuu...watu wana database za info hatari juu ya makada namba moja wa upande wako. Usitishike. Ila nakueleza tu uwe mtaratibu na mpole.
 
tangu uhuru hadi leo hii wilaya yangu arumeru mashariki hajatokea mbunge kama mpambanaji kama nassari japo amekaa muda kdg kuliko wote. huu ni ukweli mtupu
 
Ombi langu tu kwako ni mkwamba chunga hizo kauli. Wengine wataanza kukerwa na hizo kauli.
 
Back
Top Bottom