Staki niseme mengi comrade....Yàn bae wako alimtetea Jose au

ila mgongano wenu umeisha na bae?Hakika nilisemalo....![]()
![]()
![]()
Sema niligundua kwamba wewe ni 1st reply humu ndani
Nilikua nazingua tu amigo.

Nimekuelewa ComradeNilikua nazingua tu amigo.
Hakika hapakua na matata kabisa...
![]()
![]()
![]()
Mama mkwe sh'kamooMmmmmh!! Hapana, asikuje. Machale kundesa!!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbe kina mama D wapo wengiMambo D nimekumisipo..

Marahabaa mwanangu, habari ya kwako?Mama mkwe sh'kamoo
Usijali muda ukifika nitawekaWeka picha yako halisi mfano mm hapo Kwa Avatar
Don't mind me
Salama kabisa mkwe.Iko pouwa kabisa...
Za masiku
Pamoja Mkuuu![]()
![]()
Kweli mkuu, hofu ondoa