Josephine ndani ya Geita

Status
Not open for further replies.

Unachotakiwa ni kujibu hoja yaani wewe unaingia kwenye ulingo wa siasa halafu utaki kuhojiwa unataka tu wewe ndio ukosoe na kuhoji serikali, unaulizwa vipi posho hunajibu akili zenu zinawaza wizi kila kukicha hilo ndio jibu? Kazi unafanya Chadema unalipwa Milioni 10 kwa mwezi...jibu posho yako na gharama za safari za mikoani nani analipa?

Tanzania mpya unayoitaka inaitaji uwazi zaidi.
 
mbona simuoni first lady mke wa Jk mama salma humu jamvini kama Josephine irone lady na yeye ndio mnyonya jasho la Tz mkubwa tulimuona anatumia ndege ya serikali kule msoma kipindi cha uchaguzi na alipokewa na wakuu wa wilaya na mkoa na magari ya serikali mbona hatukuona povu likikutoka mkuu kukemea kama kweli wewe ni mzalendo.
 
watanzania kama wewe sijui mnasoma lugha gani nimekujibu ni hela yangu mwenyewe.

Wewe huwezi kuhoji juu ya pesa yangu.
Tatizo mawazo yako yako mlego wa kushoto ndiyo maana uelewi.

Pesa yangu,gari langu driver mwenyewe napolala najua mwenyewe.

Kitaeleweka.
 
Mkuu kwa nini usimuanzishie thread Mama Salma utapata wachangiaji wengi.
 
Umeshajibiwa kuwa ana mikono miwili jua anafanya kazi inayompatia kipato kwa kifupi anatumia fedha yake mwenyewe na yamume wake kama unataka kuongezea ilikuboresha shughuli zake za siasa mwambie akupe acount number umuongeezea kidogo maana magamba wanakupa pesa nyingi kwa kazi unayofanya humu Jf.
 
Mkuu kwa nini usimuanzishie thread Mama Salma utapata wachangiaji wengi.
mkuu akifanya mikutano Irone lady Josephine nongwa lakini boss wako Mama salma kwa fedha za serikali good hatuja wahi kuona mkihoji humu analipiwa na nani.
 
Thanks Josephine, the rightful first lady of the next president.
Endeleza harakati za ukombozi wa Tanzania tunayoitaka mama acha kujibizana na vijana wa Nnauye Jr
 
Last edited by a moderator:
mkuu akifanya mikutano Irone lady Josephine nongwa lakini boss wako Mama salma kwa fedha za serikali good hatuja wahi kuona mkihoji humu analipiwa na nani.

Wewe boss wako si Josephine ndio maana unamtetea...hunajua kama anafanya kazi Makao Makuu Chadema na anachukua Milioni 10 kwa mwezi kwa hiyo hizo pesa ndio anazitumia kwenye safari zake?
 
Wewe boss wako si Josephine ndio maana unamtetea...hunajua kama anafanya kazi Makao Makuu Chadema na anachukua Milioni 10 kwa mwezi kwa hiyo hizo pesa ndio anazitumia kwenye safari zake?

10m Josephine? Ritz umekosa cha kuandika. Hata mbowe hapokei hicho kiasi. Vijana wa Nape mna shida
 
Last edited by a moderator:

ni ufafanuzi mzur big up achana na hayo magamba kwan yenyewe yameshindwa kuvuana saiv wanaendeleza majungu
 
Wewe boss wako si Josephine ndio maana unamtetea...hunajua kama anafanya kazi Makao Makuu Chadema na anachukua Milioni 10 kwa mwezi kwa hiyo hizo pesa ndio anazitumia kwenye safari zake?
Rudi kafanye utafiti wa mishahala ya viongozi wa Cdm then njoo tudiscuss issuies huna hoja hapo mkuu hivi mama Salma pale Wama anajilipa millioni ngapi vile na amesha deliver kitu gani kinachoonekana kwa Watanzania tangu aanzishe hiyo taasisi yake ya Wama.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…