Huyu mama jina lake ni Josephine. Wananchi walipenda ujumbe wake, na hiyo inatosha.
Alikuwa anahutubia kama nani?
Kama mwana Chadema na Mwanaharakati, hata wewe kama unaamini wapo Magamba wakukusikiliza hukatazwi kuhutubia mkutano wowote ule.Alikuwa anahutubia kama nani?
Hivi na yeye anapata posho za safari, na huko anakwenda kwa gharama za nani? Tunaomba ufafanue kama kuna malipo ili na wengine wajitokeze.Huyu mama jina lake ni Josephine. Wananchi walipenda ujumbe wake, na hiyo inatosha.
Posho za safari nani analipa?Kama mwana Chadema na Mwanaharakati, hata wewe kama unaamini wapo Magamba wakukusikiliza hukatazwi kuhutubia mkutano wowote ule.
Hivi na yeye anapata posho za safari, na huko anakwenda kwa gharama za nani? Tunaomba ufafanue kama kuna malipo ili na wengine wajitokeze.
Labda mzee Mtei anaweza kutupa jibu.Bado mchumba wa dr slaa? Au wameshaoana?
Vilevile ana mpango wa kumchumbia dada yetu majebereLabda mzee Mtei anaweza kutupa jibu.
Hana jipya huyo,matatizo ya wana Geita yapo tangia siku nyingi hana uwezo wa kuwanasua zaidi ya jitihada za wanaGeita wenyewe.Kama ni mwanaharakati tungemuona kabla ya kuwa na Mh.DR
kama kawaida ya gwandaz. ukichemsha lazima urushe tusi.Vilevile ana mpango wa kumchumbia dada yetu majebere
Hilo ndiyo tatizo lenu mnaongea bila kufanya utafiti,kwa taarifa yako sikuanza jana uwanaharakati.
Issue ni kwamba umenijua baada ya kuwa na Dr,sasa kaa kimya wanaonijua wazungumze.
Mnaobeza juu ya mke au mchumba hamna sera,maneno yenu hayatazuia harakati zangu.
Huu si mda wa kusikiliza propaganda ni wakati wa kuitafuta Tanzania Mpya Tuipendao.kazi yangu ni kuwaambia nini wanapaswa kufanya ili wapate wanachotaka.
Mnawaza posho kwa sababu akili zenu zinawaza wizi kila kukicha,ninamikono miwili nafanya kazi na kazi yangu inauwezo wa kuniwezesha.
HAKUNA KULALA MPAKA TANZANIA MPYA TUIPENDAYO INAPATIKANA.