sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha zaidi ya mwaka basi jamii itaamini wao ni mume na mke(presumption of marriage) sasa uchumba wa josephine kwa slaa uko wapi ililhali tayari ameshamtundika na mimba?
Kama issue ni kufuatiliana mambo binafsi basi ngoja nikuulize,Mzee leo kashughulika? Au anakoroma tu.Mie kabla ya swala swalaa nlikuwa nshampa wifi ako stahili yake.Uongo ukisemwa sana mwishowe huonekana ni ukweli! Na kanisa Katoliki Jee linasemaje?
Kupora mke wa mtu ni mambo binafsi? Ngoja na wewe ipo siku yatakukuta mume wako atakuacha peke yako na watoto then anaenda kwa mwanamke mwingine!Kama issue ni kufuatiliana mambo binafsi basi ngoja nikuulize,Mzee leo kashughulika? Au anakoroma tu.Mie kabla ya swala swalaa nlikuwa nshampa wifi ako stahili yake.
Kupora mke wa mtu ni mambo binafsi? Ngoja na wewe ipo siku yatakukuta mume wako atakuacha peke yako na watoto then anaenda kwa mwanamke mwingine!
Peleka upupu wako PDu huyu si ex padri iwaje anazaa bila ndoa ama kweli inanishangaza kwanza amevunja amri za mungu nyingi tu hafai kuwa presida wetu
hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha zaidi ya mwaka basi jamii itaamini wao ni mume na mke(presumption of marriage) sasa uchumba wa josephine kwa slaa uko wapi ililhali tayari ameshamtundika na mimba?
Mkuu, sheria ya ndoa ya mwaka 1976 inasemaje?Kasome sheria vizuri.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hakuna kitu kama ulichokiandika hapo juu.
Bibi yako ndio anafaaa?Du huyu si ex padri iwaje anazaa bila ndoa ama kweli inanishangaza kwanza amevunja amri za mungu nyingi tu hafai kuwa presida wetu
Mkuu, sheria ya ndoa ya mwaka 1976 inasemaje?
Mkuu, mambo ya sheria inaonekana ni fani yako ebu tupandikie vipande vya sheria ya ndoa ya 1971Hakuna sheria ya ndoa ya mwaka 1976. Ni ya 1971. Soma presumption of marriage......
Hivi kwa nini kila kitu kikiandikwa au kusemwa kuhusu CDM au Dr. Slaa ambacho hakifurahishi macho na masikio, wana JF kauli chafu zinawatoka bila staha?!!!!!!
Umesoma au umesikia?hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha zaidi ya mwaka basi jamii itaamini wao ni mume na mke(presumption of marriage) sasa uchumba wa josephine kwa slaa uko wapi ililhali tayari ameshamtundika na mimba?
hivi kwa nini yule mama mshumbusi bado jamii forums inamtambulisha kama mchumba wa dr slaa? Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imesema bayana iwapo watu wawili wa jinsia tofauti wakiishi kwa kipindi cha zaidi ya mwaka basi jamii itaamini wao ni mume na mke(presumption of marriage) sasa uchumba wa josephine kwa slaa uko wapi ililhali tayari ameshamtundika na mimba?
Hivi mtu anapoamka asubuhi na thread kama hiii, What does it mean.
Ina maana amelala huku jambo hili likiwa kichwani akisuburi asubuhi ifike alilete hapa jamvini.
This just show your personality.