betty marandu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 1,163
- 725
Amen kubwa .kwa kwel kaz ya kuumba ni ya Mungu na siku zote hakosei.Naanza kwa kuwashukuru wote,naheshimu mawazo na mchango wa kila mmoja kwani kila mtu ananena kilichomo ndani ya moyo wake.Jambo moja tu naloweza kusema sikumpata mtoto kwa bahati mbaya wala kumbahatisha,nilimtamani na kumuhitaji hivyo namshukuru Mungu ameniwezesha,kwangu mimi ni mtoto wa thamani sana Namtukuza Mungu wakati wote.kwenu ninyi mnaomtamkia maneno yafedheha nayarudisha kwenu na familia zenu,Mungu aliyeniumba hajanihesabia dhambi iweje ninyi?Hatutayumbishwa na maneno ya watu tutamuangalia Mungu aliyetuumba kwani yeye ndiye taa na nuru yetu wakati wote,anayajua mapito yetu lakini pia anaijua kesho yetu.Yeye ndiye aliyetuwezesha kama angetuhukumu kama baadhi yenu hapa basi alikuwa na uwezo wakuzuia kila kitu kisiwezekane.Najua jambo moja tu Njia zake siyo kama za mwanadamu.Mungu awabariki.
Hapa mnafiki nani?Acha unafiki wewe,hatasamehewa kwani wewe ni Mungu? Acha umbea wewe au na wewe unataka chako...?
LA! SALALE!Unakatwa wewe!
Slaa, alimpora Aminiel Mahimbo Mke wake! Alikuja kusema alikuwa mtoto wao wa kwanza anaitwa Pendo, (7) ndio alimwambia baba yake, Baba tunaishi na Daddy siku hiziMchumba wa dr slaa amejifungua jana usiku pale hospital ya muhimbili saa tano usiku. MTOTO WA KIUME.Hongera josephine, hongera slaa mtoto sio mchezo.
Slaa, alimpora Aminiel Mahimbo Mke wake! Alikuja kusema alikuwa mtoto wao wa kwanza anaitwa Pendo, (7) ndio alimwambia baba yake, Baba tunaishi na Daddy siku hizi
Rev Mary GlasspoolUnatafuta ubwabwa bila shaka
Kwa hisani ya Ustaadhi DoeDoe
unawezaje kupora mke? Kumbuka mke siyo mashine wala bidhaa.Slaa, alimpora Aminiel Mahimbo Mke wake! Alikuja kusema alikuwa mtoto wao wa kwanza anaitwa Pendo, (7) ndio alimwambia baba yake, Baba tunaishi na Daddy siku hizi
unawezaje kupora mke? Kumbuka mke siyo mashine wala bidhaa.
kwani alikua bado hajajifungua till now??
Naanza kwa kuwashukuru wote,naheshimu mawazo na mchango wa kila mmoja kwani kila mtu ananena kilichomo ndani ya moyo wake.Jambo moja tu naloweza kusema sikumpata mtoto kwa bahati mbaya wala kumbahatisha,nilimtamani na kumuhitaji hivyo namshukuru Mungu ameniwezesha,kwangu mimi ni mtoto wa thamani sana Namtukuza Mungu wakati wote.
kwenu ninyi mnaomtamkia maneno yafedheha nayarudisha kwenu na familia zenu,Mungu aliyeniumba hajanihesabia dhambi iweje ninyi?
Hatutayumbishwa na maneno ya watu tutamuangalia Mungu aliyetuumba kwani yeye ndiye taa na nuru yetu wakati wote,anayajua mapito yetu lakini pia anaijua kesho yetu.Yeye ndiye aliyetuwezesha kama angetuhukumu kama baadhi yenu hapa basi alikuwa na uwezo wakuzuia kila kitu kisiwezekane.Najua jambo moja tu Njia zake siyo kama za mwanadamu.Mungu awabariki.
Aminiel Mahimbo, ndio mume wa ndoa wa Josephine Mushumbusi, ndoa yake ilifungwa Agosti 16, 2002 na Mchungaji Lewis Hiza. Katika kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kijitonyama!
Slaa, alimpora Aminiel Mahimbo Mke wake! Alikuja kusema alikuwa mtoto wao wa kwanza anaitwa Pendo, (7) ndio alimwambia baba yake, Baba tunaishi na Daddy siku hizi
wewe c una vimada wengi kwa mtaa? au kwa sabab hujatangazwa? niruhusu..,..Mnao mpongeza Dr Slaa KWA KUZAA HARAMU ni WANAFIKI wakubwa.Kama mna mioyo ndani yenu nipeni mimi wake zenu niwazalishe.Kwa kitendo hiki Dr Slaa hatasamehewa daima na huyo mume wa Josephine, na hata Yule aliye Juu hatamsamehe.Hata hivyo itakuwa rahisi kusamehewa mna mume wa Josephine kuliko na Muumba wake.