Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,656
- 287,420
Mzee Warioba akiwa AG miaka ya 80 mwanzoni ndio tulikula sana ugali wa yanga, tukapanga foleni za maduka ya kaya. Kinamama wakavaa sana vitenge vya kupika.Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Mzee Warioba wanamlipaga posho tamu tamu za milioni tano kila anapohudhuria vikao vyenye sura za wanaharakati vyenye lengo la kuichafua serikali ya awamu ya sita.Ili uwe mwanachama wa Chadema inatakiwa uwe na kipaji kikubwa cha kulalamika na kutengeneza nongwa
Mzee Warioba akiwa AG miaka ya 80 mwanzoni ndio tulikula sana ugali wa yanga, tukapanga foleni za maduka ya kaya. Kinamama wakavaa sana vitenge vya kupika.
Miaka ile baada ya vita ya Kagera kumalizika tulikuwa na rhumba la kufa mtu huko mitaani.
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Havunji Bunge leo. Mara haji leo maana mpaka sasa hajaja. Mara Mzee Warioba hajaalikwa utafikiri Mzee Malecela na Makamu wa Rais Mpango umewaona hapo! Au nao hawajaalikwa sio?Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
KajitengaKatika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Malecela kazeekaHavunji Bunge leo. Mara haji leo maana mpaka sasa hajaja. Mara Mzee Warioba hajaalikwa utafikiri Mzee Malecela na Makamu wa Rais Mpango umewaona hapo! Au nao hawajaalikwa sio?
Lukas Mwashambwa katengwa nae!??Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.
Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.
Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.
Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Usilie, Mambo badoCoinsdence,
Hawezi kutengwa na hana wa kumtenga.
Huyo ni mzee mwenye busara tu usimtumie kwenye siasa zenu majitaka hizo.
Umezaliwa mwaka gani bwege wewe mpaka umuone Warioba mtoto.
Nyie vijana toka mnaanza kushika simu mna ujinga mwingi sana.
Futa ujinga wako au utakuja kunyanganywa simu.
Negativity zimewajaa hawa jamaa wa CHADEMA, lazima aje na mada za kuwaondoa watu kwenye suala la muda husika.Havunji Bunge leo. Mara haji leo maana mpaka sasa hajaja. Mara Mzee Warioba hajaalikwa utafikiri Mzee Malecela na Makamu wa Rais Mpango umewaona hapo! Au nao hawajaalikwa sio?
Sio kweli, wapo madarakani kwa sababu JPM hayupo duniani tangu 2021 March.Hii nchi imejifia tu hakuna matumaini Tena
Hawa mafisadi watamwaga damu nyingi Sana kuachia madaraka
Malecela ana miaka 91 na Mzee Warioba ana miaka 84. Kwahiyo Mzee Warioba ni kijana sio?Malecela kazeeka