Joseph Sinde Warioba: Jiwe walilokikataa waashi

Joseph Sinde Warioba: Jiwe walilokikataa waashi

LENGEJU BOB

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
53
Reaction score
31
Kulikuwa na ulazima gani wa kuunda tume kama tayari mlikuwa na majibu?

Mliounda tume kwa minajili ya kutafuta jukwaa la kutukana wazee?

Hivi ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya makamu Rais walitoa maoni ya dhati au ya kisanii?

Je maoni yalitolewa kama chambo cha kutafutia sababu ya kumtukana Warioba?

Kwa umri alionao huyu mzee atake kuvunja Tanzania ili apate nini hasa?

Sisi wengine ni watazanzania halisi, tumelelewa kitanzania na kufunzwa adabu na heshima kwa wakubwa.

Hatukufundishwa kudhihaki waliotuzidi umri, achilia mbali waliotuzidi elimu, uadilifu na uzoefu.

Ninyi watoto mnaotukana wazee mmefilisika adabu, na nyie wazee mnaotukana wazee wenzenu mnahitaji kupimwa akili.

Usikose kusoma makala hii ndani ya Gazeti la Raia Tanzania, Alhamisi May 1, 2014. Katika Jukwaa la Mwale Wa Demokrasia, ukurasa wa 19.

Inayoletwa kwako na Mwandishi radiki, Robert Lengeju
 
Hakuna mwenye kutaka kuchangia mawazo ya busara kila mtu anataka kuonekana ni zaidi ya mwingine wakati wanatafuna mpunga wa kodi za walala hoi pasipo wananchi kutamua ni nguvu ya mvuja jasho mangi, hebu tujiulize ni vijiji vingapi havina umeme ,maji, zahanati, shule za hawali!!!? Hata wanafunzi hawana sare za shule? Wakati wao wamekalia kutukanana na kujadili hoja hambazo si zilizo wapeleka kwenye bunge la katiba. Wana maind per diem kuliko !! Watanganyika tuzinduke
 
CCM wamejidhalilisha sana kumchafua huyu mzee\

Bunge la katiba badala ya kujadili Technical Facts, wao wanamjadili huyu mzee. Sio fair kabisa
 
Jinamizi la uongo linawaandawa ccm na serikali yake.
Zikowapi zele ahadi 10 za mwana-TANU? " NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO"
 
User Name: LENGEJU BOB
User Title: Member
Last Activity: 13th October
2014 12:58
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
rest in peace!!
ulikuwa mzalendo kwa nchi yako
 
R.i.p kaka tunaomba mwenyezi mungu aipe familia ya marehemu subra katika kipindi hiki kigumu.
 
R.i.p bob mungu akupumzishe nahala pema mpambanaji.
 
Solders never die,hope ur somewhere reading our posts...stay in peace..
 
Ila mbona kama warioba anaingilia kazi za wenzake? Yy alishamaliza kazi yake akae kimya ale pesa alizopata.
 
Back
Top Bottom