Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Huyu jamaa kweli hata mie ananipa wasiwasi sana naona anarudisha nyuma harakati,hivi sasa ameingia kwenye marumbano na waandishi wa habari eti wanamuundia zengwe nani amuundie zengwe,zengwe anajiundia mwenyewe huyu kwa kushindwa kutimiza ahadi kwa wapiga kura wake.
CCM wasahau jimbo la Rombo kwa sasa.....Chadema hatutakubali jimbo hilo lirudi CCM.Najua kila kinachoendelea CCM kwa sasa,na mikakati yao kama chama huku wengine binafsi wakiendelea kujiandaa.........
napenda nione mbunge wetu anashunghulikia masuala ya wanainchi akiwa pamoja nao sasa huyu selesini pugu na rombo wapi na wapi, je masuala ya rombo atayatua akiwa hapa pugu? ninapo muona kila jumapili kwa paroko
tumshauli huyu kamanda wetu aende kwenye wanja wake wa nyumbani tusiwe kama wabunge wa magamba wanaoishi dar wote
wananchi watatekelezaje majukumu yao kama kuna umbwe la uongozi?Atekeleze wajibu wake....wananchi nao watekeleze wajibu wao.Mbunge ni daraja kati ya wananchi na Executive...........Haitakuwa Busara chama kupoteza jimbo kwa kumbeba mtu,ikifika 2015 kila mwenye haki ya kikatiba aitumie vizuri.Tumpe ushirikiano wa kutosha,tusiwape sababu za kushindwa kutekeleza ahadi na majukumu yao viongozi na wawakilishi wetu ifikapo 2015
CCM wana mbinu gani? na kwa nini unafikiri hawawezi kulichukua ukizingatia kuwa kiongozi legelege kama Selasini
wananchi watatekelezaje majukumu yao kama kuna umbwe la uongozi?
Hilo swali sitalijibu......sitaki niwape faida
Wananchi tumpe ushirikiano ilimradi yeye anakubali kushaurika.Wananchi waelewe majukumu ya mbunge na waelewe wajibu wao ni nini
CHADEMA watakuwa wamejifunza kuwa Joseph Selasini si kiongozi mzuri, na kwa kweli hafai kuwakilisha wananchi kwa tiketi ya chama chenye sifa ya kutetea wanyonge.
Angalisho kwa CHADEMA. Kosa lilifanyika kumpendekeza, kumpitisha na kumfanya mgombea wa chama. Kosa lenye bahati (CCM kuwa na mtu aliyekwisha bore watu) lilimwezesha kushinda ubunge Rombo 2010. Itakuwa kurudia kosa ambako kutakuwa na madhara kwa CHADEMA (kupoteza Jimbo la Rombo) kama Selasini atarudishwa tena kugombea 2015.
Wanaotarajia kuwa Selasini atabadilika, fanyeni jaribio muone. Mimi siamini kabisaaaaaaaaaaaaaaa!
hapa kaka umekosea, kwa historia watu wa Rombo wanaangalia umefanya nini katika uongozi wako! Wababa na wamama huwa wana-check list wakikaa vilabuni huwa wanaulizana hali halisi na hawachelewi kukutema! Ni jimbo gumu kuliko maelezo hata kabla ya vyama vingi...huyu jamaa tangu achukue kiti hajaleta hata gunia la sembe kwa watoto wanywe uji mashuleni! kwa jinsi alivyoshinda kwa mbinde naamini ataangushwa vibaya mno 2015...Na wa2 wa rombo hawaitaki ccm tena xo its better team ya chadema ianze kulifanyia kaz mapema coz it wil b so shameful kama jimbo likipotea kwasababu ya kiongozi ambaye ni Zahama thrice.....sie wananchi tunataka 2furahie kuwa na mbunge wa upinzani kutoka chama makini kama chadema....basing on juhudi zetu wananchi na yeye kama mbunge.!
thnx bra for correcting me from the wrong! Viva jf!hapa kaka umekosea, kwa historia watu wa Rombo wanaangalia umefanya nini katika uongozi wako! Wababa na wamama huwa wana-check list wakikaa vilabuni huwa wanaulizana hali halisi na hawachelewi kukutema! Ni jimbo gumu kuliko maelezo hata kabla ya vyama vingi...