Joseph Msukuma ni nani?

Kweli leo dawa imewaingia, hamkosi story zakuongea.....
Na bado ngoja apitishwe hakika hamtalala
 
Mtume ni Msukuma Katoro. Msukuma huwezi kutofautsha plate namba za cruiser 2 zinazofanana rangi
 
asante kwa picha,nasikia anamiliki mabasi nk

Huyu atatufaa sana kua mkuu wa wilaya ya Kinondoni.
1. Ana chopa amaweza kuokoa watu wakati wa mafuriko ambayo lazima yatokee kila mwaka
2. Huhitaji kua na akili sana kwa kazi hii, unachotakiwa uwe unajua kuongea sio lazima uongee point. uongee tu hasa ukiwa na wasichana mitumba kwisha kazi wanaocheza bongo movies.
3. Bado ni kijana mdogo halafu anaonekana anaweza kutatua migogoro ya viwanja vya Masaki na Oysterbay.

4. Anajua kusema CCM oyeee
 
msukuma ana miliki mabasi mengi tu yanayo itwa msukuma line yananzia safar zake mwanza kuelekea geita na kwingneko kama bariad nk ana maduka ya jumla mwanza na katoro ni mfabiashara wa madini. na kimsing ametokea familia ya watafutaji ana ndugu zake wengne wa marekani familia yao haimtegemei yeye pekee. ila inaonyesha kwao yeye ndio mwenye elimu ndogo zaidi
 
Jambaka tu ilo.
Sasa anafikr yeye ndio atalishangaza taifa na ako kachopa kake ???
Leo kesho kanaweza potea kama ndege ya Malaysia.
 

teh!,teh!teh!teh!.
 
OKW BOBAN SUNZU

inatakiwa tuupinge umasikini kwa nguvu zetu zoote na si kupinga utajiri kwa kigezo cha umri kwa akili yako matajiri wawe wazee tuu?? Acha kukariri kuwa na fedha lazima uwe umetoka ktk koo za wanafamilia wanasiasa tuu...
 
Last edited by a moderator:
Kwenye uchawi mie sitii neno maana huwa anajitangaza hadharani kuwa yeye ni mfalme wa wachawi,clip loading.....
 

Unaishi kwenye historia wewe ,hayo mabasi yalishapotea sijui huko Bariadi kule Geita hakuna tetesi Zinasema he was mufurisized
 
Dogo anatafta kwa jasho lake! Anapendeka sana geita hasa na watu wa kipato cha chini kama wakulima,wafungaji na wachimbaji wadogowadogo,ni mtetezi wao sana!
 
King musukuma nilikuwa pale uwanjani ni limkubali kwa ucheshi wake basi! Kana mbwembwe hako!!
 
Probably ni sample ya watu wa eneo hilo,sasa mtu ni boksi then anapewa wadhifa mkubwa,mara nyingi CCM wao hawaangalii what u have Upstairs,hilo haliwahusu hata kidogo
 
Dogo anatafta kwa jasho lake! Anapendeka sana geita hasa na watu wa kipato cha chini kama wakulima,wafungaji na wachimbaji wadogowadogo,ni mtetezi wao sana!
​Unadhan hata JOKA la makengeza huchaguliwa na mtajiri??????????/
 
Time shall tell. Kama pato lililomwezesha
Kununua Chopa ni halali hongera yake. Kama ni wizi saa itafika atajuta tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…