Joseph Msukuma ni nani?


duu mkuu maramia punguza tarakimu ama iyo thaman ya pesa zetu za madafu lakini ni nyingi sana ulimi umetereza umekula mrenda trilion 215???!!
 

Huyo mwenzako alikuwa anataka wasifu wa mzee msukuma, we umeenda kutoa maelezo ya namna alivyoshiriki ktk harakati za EL.
 
Wakuu,

Nimekua nikifuatilia sana utendaji wa Musukuma pamoja na comments zake.

Nimegundua ni mtu ambaye ana elimu ambayo ni ya chini sana.

Kilichnifanya nahisi huyu jamaa ni ana elimu ndogo mnoo. Ni jinsi maelezo yake yalivyo ya kiwango cha chini mno yasiyo ya kisomi.

Kwamfano baada ya kuachiwa kwa dhamana na alipokua akimtisha RPC.

Yaani imenibidi kupandisha uzi huu kutaka kujua cv yake.

Tujuzane cv yake, elimu na kadhalika kuhusu huyu Mheshimiwa tafadhali. Wale UVCCM tuweke vyama pembeni na tuweke cv hapa watu tujue
 
Endelea kuhisi tuu

Mbn unaweza kuwa sehemu ya joto na ukahisi baridi, ukavaa sweta na kujifunika juu... Kuja kutalamaki kumbe una malaria

Usiponielewa usimlaumu MSUKUMA, huenda yeye ndie anapaswa kujua elimu yako
 

Jina: Joseph Kasheku Msukuma
Kabila: Sukuma
Tarehe ya Kuzaliwa: 12.02.1974
Elimu: La Saba Oyeeee - Fulwe Primary School
Nyadhifa Alizowahi Shika: Mwenyekiti Geita DC,Mwenyekiti Chama Tawala Mkoa wa Geita.
Mh. Jamaa Huwa hana Haya Kujiita La Saba Oyee! Anaamini kuna Maprofesa anawazidi Akili.
Courtesy :Parliament of Tanzania
 
Juzi alivyoongea baada ya kuachiwa na polisi unaona kabisa pamoja na elimu ndogo aliyo nayo kuna dalili zote kwamba anatumia bangi.
 
 

Kama wewe ni mfuatiliaji wa vipindi vya bunge utakubaliana na mimi kuwa Musukuma mwenyewe huwa anasema ndani ya bunge yeye ni mbunge ambaye hajasoma............."tena anajisemea sisi wa darasa la saba"!!!!
 
Mkisema huyu Jose anaonekana elimu yake ni ndogo kwa jinsi ananyo ongea. je yule jose mkubwa mtasemaje kutokana elimu yake na vile anavyo ongea?
 
Mkisema huyu Jose anaonekana elimu yake ni ndogo kwa jinsi ananyo ongea. je yule jose mkubwa mtasemaje kutokana elimu yake na vile anavyo ongea?
Nahisi hawa kina josee kuna pahali nyaya zimekaa vibaya
 
Anasema yeye ni Stnd seven, ila ana PhD ya mipasho aliyosoma na Kibajaji
 
CV ya msukuma watakupa ya Uganga wa kienyeji sijui kama anajua hata kuandika nasikia hata pesa alizo nazo amepata kwa njia ya uganga ulozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…