Joseph Msukuma ni nani?

Wakupime akili alipokuwa anamsapoti el alikuwa wa maana Leo kaeleza uchafu wa karne wa el mnaanza kumkashifu,kafie mbali
 
Huyu ndo rafiki wa el no2 baada ya rostam,lkn ndo amesaidia watu kujua kituko cha karne cha el alichokifanya geita,hapo fununu zilikuwepo chinichini,
 
Msukuma tunakushukuru zile fununu zilizokuwepo chinichini zidi el kufanya mambo furani ya aibu geita zimewekwa wazi,
 
Msukuma tunakushukuru zile fununu zilizokuwepo chinichini zidi el kufanya mambo furani ya aibu geita zimewekwa wazi,

Aisee. Kwa hiyi sera ya sasa hivi ndo hiyo? Whether ni kweli au sio kweli, mgombea wenu ana kifua cha kustahmili mapigo? Kwa kuwa tunataka tuanze kuweka mambo hadharani na ushahidi sio bla bla kama za kwenu
 
hii ni dhihaka hakika mungu atamwinua na nakuhakikishieni tutamchagua hivyo hivyo. wajinga nyie.
 
Kweli uchambuzi kuhusu huyo kijana unaonyesha ni hatari na hafai ktk jamii yetu. Na dhambi zake tumezijua baada ya kumsaliti bosi wake, ambaye ni lowasa, nikinukuu maelezo ya wachangiaji. Jambazi mkuu yupo ukawa laiti pasingetokea usaliti, Jambazi mtoto na Jambazi mkuu ndani ya ukawa wote wangekuwa malaika wa kuikomboa nchi yetu
 
Aisee. Kwa hiyi sera ya sasa hivi ndo hiyo? Whether ni kweli au sio kweli, mgombea wenu ana kifua cha kustahmili mapigo? Kwa kuwa tunataka tuanze kuweka mambo hadharani na ushahidi sio bla bla kama za kwenu

Tujadili hoja iliyopo hiyo ya kufikirika hadi muiunge unge, kanusheni kuwa mzee hakutokwa na haja kubwa, swali ni iweje ajinyee akiwa Chato nyumbani kwa mzee wa Hapa Kazi tu? Au ni mchecheto.
 
Wakupime akili alipokuwa anamsapoti el alikuwa wa maana Leo kaeleza uchafu wa karne wa el mnaanza kumkashifu,kafie mbali

We K nini!! Nani asiyemfahamu huyu Msukuma hasa wakati wa Sengerema!?
 
Mkuu Trilion 215 ni bajeti ya Tanzania miaka mingapi? kuna chopa ya hiyk bei kweli?
 
Hivi hawa ccm Sifa ya kuwa mwenyekiti ni ninii namwangalie ndugu abdallah bulembo mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi na huyu msukuma mwenyekiti wa mkoa wa geita nabaki sielewi elewi
 
Nikishakutajia uanze kuniita tajiri wakati sistahili kuitwa tajiri .

Huyu msukuma amechoka matajiri hawapo hivi ,matajiri ni wembamba lakini wamenawili tofauti na msukuma hajanawili yupo tu kama fukara.

Kama kunawiri ama kujazia ndiyo utajiri au mamlaka, mwili wa Msukuma una tofauti gani na mwili wa aliyekuwa baba wa Taifa?
Najisemea tu huku nikipita.
 
Inaonekana anapenda sana kujinyea na ndio siri ya wachawi wakuu
 
Kweli raisi wangu lowasa hakukosea vipaumbele
1.elimu
2.elimu
3.elimu
Wewe zuzu unaijua sh trillion 215 ?

Trilioni 215 naijua sana kabla hata sijaanza shule, ina sifuri mbili mbele muulize hata msukuma kama mimi zuzu huniamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…