Joseph Mbilinyi (SUGU) MB afanya kweli Mbeya Mjini

kuna uhusiano mkubwa kabisa kati ya ongezeko na la watu na ukuwaji wa miji, so ninaamini kwa kuwepo machinga mjini mbeya kuna sababu za msingi kabisa mbeya kunufaika, ikiwemo mzungo wa fedha, nadhani ningekubaliana na wewe kama ungeuliza je huduma za kijamii nazo zinaongezeka? ila siyo unalaumu wamachinga waondolewe, Kwani Mh.Mbunge ni mgambo wa jiji? kama wewe siyo mbaguzi hebu jiulize Kongo ya Dar ya leo ni sawa na Kongo ya 1990s, tafakari chukua hatua
 

unajua sugu ni mbunge hvyo anachofanya ni kuforce kuptia bunge ili miradi iwezekutekezwa. Hvyo lazma sugu aonekane ktk hlo, au ulitaka magamba ndo waonekane ndo wanafanya hvyo? Na km angekuwa mbunge gamba miradi hyo icngekamilika. C tulima magamba walivokuwa wanapnga? Acha ushbikh wa kivyama kwny maendleo ya mkoa wetu.
 
I am still trying to digest kama wamachinga ndio wanasababisha foleni au ni wembamba wa barabara. Nikipata jibu nitajua ni nani mwenye akili kati yako wewe na Sugu.
 

haaa kumbe humu ndan kuna wajinga fulani hv waliopo kwa ajili ya kampen? Hasa hebu eleza mbunge aliyepita hao machnga hawakuwepo? Au nini alifanya zaidi ya wizi tu? Na usubiri hyo 2015 utaona atakavoshain. Wat wa mbeya wehu km wewe ila wanaona anchofanya. We baki upofu wako huo.
 
Ni kweli mkuu, maana hata wale waliopewa miaka 50 wakashindwa leo hii wanatoa kasoro wale wenye miaka 2 tu jimboni
KASORO ZENYE KASORO

hebu ushange, miaka 50 ya uhuru hawakujenga hzo barabara sasa ndan ya miaka 2 wanaongea utumbo. Lakn 2naojua 2nasema mh. Sugu ni vema. Na ndo watu tunaowataka cyo magamba.
 

wakati mwngne hawa magamba ni bora wakae kimya kuliko utumbo wanaosema. Hapa mbeya ha2taki ngonjera 2nataka vitendo km anavofanya sugu. Well done mh. Mbilinyi.
 

mhurumie huyo mbweha anajua nini? Bila shaka ni mmoja wanashbikia upumbv km wa mwigulu kule kibaha.
 

:target:Mkuu MKWAWA! umejitahidi kuweka karibu kila kitu waz kuhusu mpango wa ujenzi wa barabara za majiji nchin kwa kutumia fedha za word bank. lakin umewadanganya watanzania katka attachment yako ya picha inayoonesha sehemu bara bara. kwa taarifa yako na wasomaji hapo ulipotuonesha sio MBEYA n MWANZA ktk makutano ya barabara itokayo Igoma na ile iendayo air port na BUHONGWA. labda utwambie maana ya kuweka iyo picha mwanza kwenye habari za mbeya. Otherwise edit post yako ili usiwachanganye wasomaji.
 

Jiji la Mbeya hata leo nashangaa kwa nini linaitwa jiji, maana vigezo vya kuwa jiji bado kabisa havijafikiwa.

Kuna mkuu wa mkoa mmoja alihamishiwa hapo Mbeya toka Arusha alishangaa kuona uozo wa kimipango na hata kimiundombinu, ikiwa ni hiyo barabara ya Mafiati-Sai.
Yeye akaamua kuiita Mbaya kuwa kijiji kikubwa badala ya jiji.

Wengi walimlaumu, lakini kwa mtu aliyesafiri miji mingi hapa nchini vile vile atasema hilo, Mbeya ni kijiji kikubwa.
Machinga kuzoeleka na kukubaliwa katikati ya jiji ni mawazo ya kuwa kijijini wanakopanga viazi, ndizi na miwa kando kando ya barabara.

Kwamba hilo linatokea hata DSM si sababu ya kutolishughulikia, kwa vile wengi wana mawazo ya kuwa kijijini.
hiyo barabara niliyoitaja wala si nyembamba na hata ikiwekewa taa za kuongoza magari kutakuwepo tatizo bado.
Watu/wananchi wana katiza barabara hiyo kama kumbi kumbi na barabara haina hadhi ya highway na sasa ni street.

Jiji la Mbeya pengine ndiyo pekee lenye nyumba nyingi za matofali mabichi ya udongo, yanayoporomoka wakati wa mvua.

Waliotembea na kuona miji inayitwa miji watakubaliana na mimi kuwa utatuzi wa upanuzi wa jiji la Mbeya pamoja na maboresho lazima yaanzie na kuboresha masterplan ya jiji ili liendane na hadhi ya kuwa jiji, si kijiji kikubwa.
 

Mtoa mada hapa umetutapeli, hiyo hi round about ya Jiji la Mwanza
 
Barabara ikiwa nzuri ni sifa kwa Sugu. Barabara hiyohiyo ikiwa mbaya ni lawama kwa CCM!!!
 

Naendelea kukubaliana na wewe kwa asilimia 100% uliyoyaandika hapo juu............wenyeji wa Mbeya wanahitaji kujifunza kutoka mikoa kama Kilimanjaro (Moshi), Tanga na hata Arusha..........nakubaliana na yule Mkuu wa Mkoa aliyeita Kijiji Kikubwa...............sidhani hata kama Mbeya ilikuwa na Masterplan!!....ni aibu aibu kuita Mbeya jiji!!.....Mbeya mjini yote inabidi IVUNJWE na iundwe/ipangwe upya kabisa.........I'm sorry mashemeji zangu......ukweli lazima tuuseme...na ninamshukuru sehemeji yangu masopakyindi kwa kuliona hilo............
 
Last edited by a moderator:
Labda ganja zamani kidogo nilikuwepo,Sugu hawakuwezi hawa magamba.Pambana
 
Mkuu Ogah, nashukuru kwa kukubaliana na mimi juu ya kitu amacho wakazi wengi wa Mbeya hawakioni.

Wengi wa wanaomtetea mh. Sugu wana exposure ndogo sana si kiinchi tu bali hata kimataifa.
Kila nikipita Mbeya nasikitika sana kuona jinsi wenyeji wake wanavyo bweteka na maendeko hafifu yanayoonekana.

Mimi sina bifu na Mh Sugu lakini akiweza kuhimiza kulitoa jiji la Mbeya kutoka hadhi ya kijiji na kuwa jiji kweli nitaridhika tu.
 
Mmm !!!! Mbeya yataka moyo usanii mwanzo mwisho !! mbaya zaid mpaka kwa watu wasomi tunaowategemea siasa imewachakachua kiasi kwamba wanacheza ngoma kama vipofu!!! ukifika mahali unabeza kazi na juhudi za wazi zilizofanywa na hata kufikia kuzichakachua kuwa ni kazi za sugu tumekwisha kwani "FELIX MWAKYEMBE NI MWALIMU WANGU" Namkubali sana ila kwa hii article ni shaka kwani anafahamu vizuri miradi hii??? na ni baadhi ya miradi ikiwepo ya hostel za jiji, soko (mwanjelwa) office ya jiji, na shule mbalimbali za kata zipatazo 28 na dispensary, zimetokana na watu kuandika paper zao na kushawishi kwa kwenda mbele kupata fedha hizo ili miradi iende, Mh wangu Sugu kwa mbeya anatakiwa kutuliza kichwa ili aweze kuja na legacy ya kwake badala ya kumdanganya kwa kazi za wenzake aonekane anaperform, kiufupi labda mwakyembe angeniambia kuzagaa kwa wamachinga na uchafu kukithiri ni juhudi za viongozi wa awamu hii ningeweza kukubaliana naye.
 
Hongera sana sugu!!!mbeya inakutegemea sana kuikomboa toka kwa watu wenye uchu na rasilimali bila kurudisha fadhila mkoa huo.god bless sugu god bless mby!
 

wewe huijui mwanza na mbeya huijui vilevile, hapo bila ubishi ni mwanza kabisaaa
 
Mkuu wangu hapo ni mwanza sio mbeya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…