Joseph Mbilinyi (SUGU) awasha moto Serena Hotel kwenye birthday yake, Rais Samia ahudhuria

Mama Samia anasema anaweza kumzaa Sugu mwenye miaka 50? How old is she?

Pia amem refer Sugu mwenye miaka 50 kama Kijana, ni upi ukomo wa Umri wa kuitwa Kijana?
Hata mimi nimeshangaa sana; kimoyo moyo bajisemea Inaoneka yale mambo aliyaanza akiwa na miaka 10 mpaka ajione anaweza kuzaa mtu wa miaka 50

Hivi huyu sugu ndio alikuwa anachangiwa pesa za matibabu?
 
Hawa wasanii sijui pesa wanapeleka wapi jay tangu kitambo na ubunge juu hawezi kujitibia na mkewake anamiliki shule lakini bado tu

USSR
Wengi wao ni WAJINGA NA MALIMBUKENI mara wapatapo pesa!

Just imagine lei Msanii anayejiita Baba Levo anashindana na mjinga mwenzake kupiga danadana kwa furushi la milioni kumi kama mpira!

Kesho akiugua Kifaduro unadhani akiomba msaada atasaidiwa?

Wengine wamepata maisha kwa usanii wao, hata kama wakiomba msaada ama kusaidiwa na serikali ama jamii yao si mbaya...ila kwa ujinga huu wa Baba Levo au Daz Baba wasahau!
 
Huyu Rais aambiwe kua Rais sio sawa na mwenyekiti wa VIKOBA aheshimu Taasisi ya Urais , aache mambo ya uswahilini
Hili tukio limempa Political milage kubwa sana Mama Samia kama Mwanasiasa kuliko hata Sugu ambaye ndiye mwenye shughuli.. Kumbuka ana Uchaguzi 2025, na hii ni mikakati ya kuelekea huko..

Kumbuka Chadema ndiyo Chama kinachoweza kumsumbua kwenye Uongozi wake, na Sugu ni Mwana Chadema.
 
Back
Top Bottom