Joseph Mbilinyi kabla ya ubunge!

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,792
Reaction score
2,421
Michango ya sugu bungeni ni makini sana zaidi ya madokta na maprofesa kama Maghembe au Mulugo na migao ya umeme kwenye ujenzi wa taifa

Mf. SWALA LA HATI MILIKI NA WIZI WA KAZI ZA WASANII aligombana sana na Joseph Kusaga adi wazir kuwapatanisha na kufikia muhafaka na serikali wa tra kusimamia uuzwaji na usambazaji wa kazi hizo.

2. Akiwa waziri kivuri bungeni Alilalamika swala la wasanii wakubwa kama Joe Tomas, Bee man 50cent kufanya shoo bongo na kulipwa ma bilioni bila serikali kuwakata kodi huku walalahoi tunakatwa kodi kwenye mishahara ya lakimbili

3. Amelalama uovu wa polisi wanavyoua kilasiku raia

4. SUGU MOTOCHINI, WANAKUITA SUGU NA WANACHOTAKA akiwapa ukweli wanaomkwamisha na kuwekea chuki bila sababu

sugu kaanza kutetea wanyonge toka kwenye mziki tafuta vibao vyake kabla ajaanza siasa kama

1. HAKI aliifanya na marehemu Jastini Kalikawe

2. KURA YANGU alifanya na Juma nature na Dr levy

3. MIKONONI MWA POLISI aliifanya mwaka 2000 na 1996 alitoa ngoma nimesimama akipinga uovu wa police. Lakini Mwangosi akafa mikononi mwa polisi 2012

4. DAYWAKA 1998 akizungumzia tatizo la ajira

nyimbo zote juu ntaziweka ivi punde

huyo ndio Mr II AU tafuta nyimbo hizo mpaka mbagala kwenye kopyuta za kubani upate ujumbe na harakati zake katika jamii
 
Hata mimi na mkubali sana Sugu, content yake kwenye jamii inaonekana sana!
 
Halafu?? Hapa unajaribu ku-justify nini??
 
Uzuri wa SUGU hakudanganya elimu yake,alikuja na ukweli wote,na sisi wana wa MBY CITY tukampa kura kwa kadili tulivompemda,lakn Kapteni Mulugo kafoji...mnahangaika sana kumtetea,hata kwa JIK hasafishiki
 
Ndo CV yake au!!!!

CV ndo nini wewe.
Tunamaprofesa na madocta wezi tu.

Pumba nyingine mnawanyima watu elimu muwasimange?

Tafuta nyimbo hizo sikiliza. Zipo za kurekebisha tabia ya mtu mojamoja kama Anamiaka chini ya 18 , mambo ya pesa na namshukuru mungu
 
Mabilion Mnayokwapua wizarani hamzioni,mmekaa kashadadia ishu binafsi.huna hata aibu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huna jipya mkuu!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

JF limekuwa jukwaa la kufagiliana!
 
Ndo CV yake au!!!!

Ukiambiwa ------ ulalamike, CV za ma-prof na ma-Dr zinatusaidia nini kama si upuuzi na wendawazimu mtupu.....unaona akili zenu za kipumbavu na mitaala yenu ya kusoma vyeti...nyau kabisa.
 
".....sikupenda kutokuendelea kusoma bali baba alipofariki ilibidi nimtunze mama na zaidi kuhakikisha wadogo zangu wanasoma" haya ni baadhi ya mistari katika wimbo wa Sugu (hayakuwa mapenzi)
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…