Joseph Mbilinyi (Sugu) kuchunguzwa kwa kosa la kutukana wabunge

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811

Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameitaka Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuchunguza tuhuma dhidi ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu anayedaiwa kuwaonyeshea kidole cha kati wabunge wa CCM.

Sugu anadaiwa kufanya kitendo hicho June 6, mwaka huu alipokuwa akitoka katika ukumbi wa Bunge baada ya kuwasilisha maoni ya kambi ya upinzani kuhusu azimio la bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa udhibiti wa matumizi ya dawa na mbinu za kuongeza nguvu michezoni.

Naibu Spika ameitaka kamati hiyo kumchukulia hatua kali kama watamkuta na hatia ya kufanya kitendo hicho.

Chanzo:
Mpekuzi Huru
 
1.png

Naona anatamani hata adhabu ya kifo ingetolewa
 
Tupo na mbunge wetu wa mbeya wala asife moyo yeye ndiye rais wa wana wa mbeya
 
1.png

Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameitaka Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuchunguza tuhuma dhidi ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu anayedaiwa kuwaonyeshea kidole cha kati wabunge wa CCM.

Sugu anadaiwa kufanya kitendo hicho June 6, mwaka huu alipokuwa akitoka katika ukumbi wa Bunge baada ya kuwasilisha maoni ya kambi ya upinzani kuhusu azimio la bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa udhibiti wa matumizi ya dawa na mbinu za kuongeza nguvu michezoni.

Naibu Spika ameitaka kamati hiyo kumchukulia hatua kali kama watamkuta na hatia ya kufanya kitendo hicho.

Chanzo:
Mpekuzi Huru
watathibitisha vipi wakati camera eimezuiwa bungeni?
 
Bila shaka kamati ya maadili itamjaji kupitia video, Hivyo na sisi wananchi ni vyema tukaiona hiyo video.
 
1.png

Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameitaka Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuchunguza tuhuma dhidi ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu anayedaiwa kuwaonyeshea kidole cha kati wabunge wa CCM.

Sugu anadaiwa kufanya kitendo hicho June 6, mwaka huu alipokuwa akitoka katika ukumbi wa Bunge baada ya kuwasilisha maoni ya kambi ya upinzani kuhusu azimio la bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa udhibiti wa matumizi ya dawa na mbinu za kuongeza nguvu michezoni.

Naibu Spika ameitaka kamati hiyo kumchukulia hatua kali kama watamkuta na hatia ya kufanya kitendo hicho.

Chanzo:
Mpekuzi Huru
Nadhani busara inahitajika hapa. Ni rahisi zaidi kuharibu lkn gharama za kutengeneza huwa kubwa sana. Kuvunja nyumba kwa karandinga huchukua dakika tano tu na kutumia resources chache kuliko zilizotumika kuijenga. Tanzania ni yetu sote, nguvu na maguvu hayataijenga zaidi ya kuibomoa
 
Hiyo watu hawalioni bali wanachekelea tu
 
Back
Top Bottom