Joseph Kimwaga na tuzo ya chipukizi bora

Joseph Kimwaga na tuzo ya chipukizi bora

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,345
Joseph Kimwaga alicheza Uhai Cup, na
mechi za Azam U-20 kila Azam
ilipokuwa inacheza VPL nyumbani na
wakati mwingine ugenini (rejea kipigo
cha goli 7 walichofungwa Yanga U-20. Kupandishwa kwake timu kubwa ilikuwa ghafla kwani hata jina lake TFF limesajiliwa U-20 (kanuni inawaruhusu hawa kucheza timu kubwa muda wowote), na akathibitisha ubora wake mara baada ya kupanda.
Waliokuwa wanamtazama wamejiridhisha kuwa ndio chipukizi
bora, nashangaa yanapotokea
malalamiko.
 
sureeee
 
Back
Top Bottom