Joseph Kabila awaongoza mabodigadi misitu ya kongo

Kweli vijana noma. JK na ukanali wake sijui
 
Kwa mali iliyopo/ utajiri wa Congo hiyo barabara ilitakiwa kuwa na lami na madaraja ya nguvu, siwaelewi mnao misifia Kabila kwa anachofanya!!
 
Bonge la photo opp kama Kinana kwenye kitalu cha mpunga anang'olea.
 
Kwa mali iliyopo/ utajiri wa Congo hiyo barabara ilitakiwa kuwa na lami na madaraja ya nguvu, siwaelewi mnao misifia Kabila kwa anachofanya!!

Ile nchi ya Congo ina mvua nyingi sana kwa suala la barabara za lami Congo ni vigumu kidogo kwa kuwa utope huo unaouna ni karibu mwaka mzima na kwa ujenzi wa lami haufai kwani itahitaji karibu kila baada ya miaka mitano wabadilishe lami waweke nyingine na sehemu zingine ni miaka miwili itabidi waweke lami mpya. Ndo maana serikali ya Kabila imeboresha sana viwanja vya ndege na usafiri wa anga ni usafiri wa kawaida sana.
 
Hivi raisi kazi yake ya msingi ni kusukuma magari, kufunga supana, kutembea misituni na kupita sehemu ambazo ameshindwa kuzipelekea maendeleo?

Kwanza kabila ameleta nini kongo?

Acheni upofu wa akili.
 
Sasa rais kijana ni nyalandu? Kigwangala?Makamba? Anayeweza sekeseke hilo? Hao hata JKT hawapajui. Ni kweli tunahitaji Raia kijana ila hapo hatujapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…